ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
Kaingia beki kisiki Martinez na kijana mwenye akili kubwa Garnacho ngoma imachange kabisa. Tunawakimbiza ipasavyo saa hiiGame imepooza kama mate ya mlevi.

Wazee! Martinez anaupiga mwingi