Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakiri mapema kabisa sina imani na kikosi, kocha ameanza kuchanganyikiwa au?

Acha nimuachie yeye kama mwalimu ndio anawajua watu wake.
Aisee tunaruka ruka tu yaani timu imepooza sana. Pamoja na watu wengi kumkashifu Garnacho ila mimi kwangu ni bora dogo aanze kuliko Sancho f
dogo huwa anapress sana na mikimbio yake yote huwa niya hatari tofauti na Sancho yeye akipata mpira anafikiria kupiga chenga.
 
Dogo alifanya uchoyo game moja tu kelele hadi zimemfikia. Ila kiufupi anatakiwa tu kuambiwa aache uchoyo acheze kitimu, yupo vizuri sana na anaendelea kukua.
 
Back
Top Bottom