Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
hayanaga akili ARV,ALLY PIPI,FLANO,yanachambuaga Mpira kwa kutumia makalio badala ya kutumia kichwatunamfunga leeds gap linabak points 5, watafungwa na brentfod zinabak 2, kisha lzm cty amfunge afu ss tunashinda mechi yetu ya pili na leeds hao hao tunakaa kileleni hadi ligi inaisha
Manyumbu bana
Sunday mtakojolewa hamtaamini Leeds akiwa home ni hatari kuliko awaySema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.
Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia.
Leeds ikitokea katufunga katuotea tu ni kibonde wetu hawezi kaza game mbili mfululizo.Sunday mtakojolewa hamtaamini Leeds akiwa home ni hatari kuliko away
Kwa nini unajiita "DADA MLA MAYAI"?nakojozwa vizuri sana,lakini sio mapema kama walivyokojozwa Manyumbu jana,yaana dakika ya kwanza tu washakojolewa daaah
kwa sababu sikojozwagi mapema kama Man UKwa nini unajiita "DADA MLA MAYAI"?
kwa sababu sikojozwagi mapema kama Man U
Mpira uliangalia au umepitia higlights asubuhi?Sema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.
Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia sio kipindi cha rangnick tukiwekwa tu goal ujue nitolee io.
Huyu dogo me naona sio wakuanza, huyu ni wakuingia kipindi cha pili.Leo timu inacheza hovyo sana afu garnacho kila mpira anapoteza tu
Japo sikuiangalia hiyo game, lakini huyo jamaa mimi simkubali tu.Werghost hakuna anachotusaidia
Pale hata umlete Haaland ataishia kuzurura tu. Garnacho nafasi mbili za wazi kutoa tu pasi Weghorst ingekuwa kama kumsukuma mlevi.
Kama kocha anataka ushindi basi Werghost sio mchezaji wa kuanza, Rashford aachwe acheze kati.
Werghost tena??Jumapili tuanze hivi
GK - De gea
RB - AwB
CB - Varane
CB - Martinez
LB - Shaw
CDM - Lindelof
CM - Sabitzer
CAM - Fernandez
RW - Antony
LW - Sancho
CF - Rashford
Kama Antony hatokuwepo basi rashy aje kushoto, sancho kuria na weghorst kama ST
SureWerghost tena??
Hapo acheze Pellistri..Rash asimame katikati na Sancho kushoto..Kama Anthony hatokuwepo.
Kushakucha kijana, acha kuota utakunya kitandani.Sunday Leeds anabeba 3 points na maisha kuendelea
Hamna mchezaji mule, hata asipocheza hakuna tatizo.
Jana tuliupiga mpira mwingi sanaa, chances zilikuwa created sana, finishing yetu bado inashida, tunatengeneza nafasi nyingi lakini hakuna goli.Sema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.
Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia sio kipindi cha rangnick tukiwekwa tu goal ujue nitolee io.
Niliangalia, ntasemaje tuliupiga mwingi kama sijauona shida yetu makosa madogo madogo yakafanya tupigwe ndoige za mapema/upande wa dalot na kati pale kkwa fred.Mpira uliangalia au umepitia higlights asubuhi?
Naelewa kwanini 10 hag anamtaka sana de jong.Jana tuliupiga mpira mwingi sanaa, chances zilikuwa created sana, finishing yetu bado inashida, tunatengeneza nafasi nyingi lakini hakuna goli.
Leeds kwenye mashambulizi yao walitumia sanaa upande wa Dalot, alikuwa weak kwenye defensive yake, mipira mingi au naweza sema almost magoli yote yamepitia upande wake.
Fred nae aliboronga sana jana utafikiri alikula mrenda kabla ya mechi, anacheza vizuri dakika 2 alafu anazingua dakika 20.
bado United tunahitaji kiungo mwingine maana pengo la Casemiro na Eriksen linaonekana live bila chenga.
Garnacho nae miyeyusho tu, hua tunakimbiliaga kumlaumu Anthony ila huyu dogo ana kaujinga flani mara 100 ya Anthony, Sancho pamoja na kukaa nje muda mrefu ila impact yake jana ilikua kubwa sana, mechi ijayo 10 Hag inabidi amuanzishe tu kwenye 11st mambo ya fitness atayapatia humohumo dimbani.
Sambusa (Sabitzer) kidogo ndio usajili wenye afadhali tulioufanya kwenye dirisha dogo ila huyo Weghorst kusimama mbele hapana kama vipi arudishwe nyuma akasaidiane na kina varane tu.