Manchester United (Red Devils) | Special Thread

lukaku s aliyeonekana bora alikuja akashindwa tukalalama akaondoka na athony itakuwa hvo hvo kocha kumnunua mchezaj sio tatzo na haimainish wwrghost nae kaletwa na kocha huyo huyo mnaembeza tatzo ni mapenz mnaendekeza.
athony ni kiungo mshambuliaj anayetoka pemben kaz yke kuu ni kushambulia kuasist kupiga krosi kuingia na kudestroy safu ya uliza swala la kuzuia kila mchezaj anausika tukiwa atuna mpira mpka namb 9 lkn kila nafas ina main function yeye athony kaz yake kuu sio kushambulia yule ni mama tu mpira wake wa kibongo anapewa mali watu washafungua space nafaa ya kutoa pass anayo anapiga chenga anajigeuza kama kambale timu pizani wanacover space tunashindwa kuwafungua na huyo anacheza kwa mahaba ya kocha tu lakin sio mchezaj anayetufaa kwa ushindi labda kipind tumeshonda aingie kwajili ya burudani
 
Msimu huu antony martial amekosa mechi 20
Kuna mahala nimesoma Ten Hag majira ya kiangazi anapanga kuwaweka sokoni Martial, Bailly, Telles, Maguire na Van De Beek.

Kuna pressure kutoka ktk bodi kupunguza gharama za uendeshaji wa timu. Tayari internally washaweka salary ceilling (not more than 350k/weekly - bonus inclusive).
 
[emoji599] Erik Ten Hag is planning a summer clear-out at Manchester United to raise funds for new signings:

[emoji777] Harry Maguire
[emoji777] Scott McTominay
[emoji777] Anthony Martial
[emoji777] Donny van de Beek
[emoji777] Eric Bailly
[emoji777] Alex Telles

(Source: Steve Bates)

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Lisandro Martinez’s game by numbers vs. Crystal Palace:

92% pass accuracy
77 touches
61 passes completed
7 ball recoveries
5 clearances
3 aerial duels won
2/2 tackles won
2 ground duels won

The Butcher. [emoji36]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

That’s THIRTEEN home wins in a row for Erik’s Reds! [emoji7]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Bonge moja la transformation hawajamaa wakiondolewa hususan Maguire.
 
Inaonekana Erik anampenda sana cause press conference zake nyingi anapo muongelea martial anaonekana kuwa ni mchezaji aliye katika mipango yake.

Labda ziwe mind games

Let's wait
Hahahaa Ten Hag ni mjanja sana anapo-deal na waandishi wa habari. Usiamini kauli zake kirahisi rahisi umesahau alichokuwa anasema kuhusu Ronaldo mbele ya camera?

Rashford, Shaw na Dalot ndio wachezaji pekee aliowakuta ambao Ten Hag ame-approve bodi ianze mazungumzo nao ya mkataba wa muda mrefu. Waliobakia wote ni 50/50 tu.
 
Huyu mreno huwaga anakichafua balaa katikati.
 
Palihna tulizingua wenyewe msimu uliopita miezi kama hii Sporting Lisbon walikuwa wanataka euro 20M tu. Ralph ali-recommend yeye na Enzo akiwa River Plate naye bei yake ilikuwa euro 18M.

United huwa tunaingia sokoni muda ambao ni rahisi kupigwa pesa ndefu. Unafikiri Fulham watatuacha salama hapo? Hawawezi kumuuza chini ya pound 40M. Usisahau pesa kwa sasa hatuna priority ni mshambuliaji wa kati majira ya kiangazi.

Hali ya kifedha ikiendelea kuwa tete Kenneth Taylor anweza kuwa mtu sahihi sana akiwa understudy ya Casemiro. Ni kijana mdogo ila ana akili nyingi sana uwanjani plus ni mchezaji ambaye Ten Hag anamfahamu vizuri sana.
 
Baily nilikuwa namkubali sana ila cheza yake sasa reckless sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…