Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Hii game haikupaswa kufika kwenye penati na inaonekana Moyes hakuandaa timu kwa penati.Now nguvu zote tuhamishie EPL,Moyes tayari ameanza vizuri kwenye usajili naamini mwisho wa msimu tutapata viungo wanaotufaa.Nilipendelea sana kumpata Vidal au Cabaye
Mwaka huu mtamtamani mpaka mbuyi twite na chuji