Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa jamaa sidhan kama wanataka kuiachia hii club
 
Ten Hag is an admirer of Utrecht's Taylor Booth. Ten Hag still has strong ties to the club so is well informed on Booth's capabilities and is believed to be actively monitoring his progress.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Alete watu....huyu dogo mfatilie afu utuletee analysis tumjue
 
Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Mimi huwa nawashangaa sana mashabiki na wachambuzi hasa kina Scholes wakimdharau Antony sijui huwa hawaoni hatar yake? Warejee ile mechi ya Arsenal alipotoka uwanja ulielemea kwetu.

Mchezaji anaweza asifunge goli au asitoe asist lakini the way anavyocheza anawafanya wapinzani wacheze kwa tahadhari kubwa hivyo kuwaharibia mipango yao. Hichi ndio nakiona kwa Antony tangu ametoka kombe la dunia amekuwa akikabwa na kukumbizwa na mtu zaidi ya mmoja pale anaposhika mpira. Hii mwanzo haikuwepo na ndio maana aliweza kushoot na kufunga magoli ya mbali rejea mechi ya city na arsenal ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…