Yaani naandika ndio anatolewa. Asije akapata Red maana ana Yellow tayari.Casemiro angepumzishwa
YesMachine Ganacho anapumzishwa.
Hapa naona kocha wa man u ni kama yupo mazoezini akikipanga kikosi chake
FT 2-0Bado goli moja la Rashidi kisha mpira uishe. Hawa jamaa leo wanapigwa 3 tena
Newcastle star Bruno Guimaraes won't be suspended for the Carabao Cup final despite getting sent off against SouthamptonYaani naandika ndio anatolewa. Asije akapata Red maana ana Yellow tayari.
Kocha kajifunza match vs C Palace.
Na ukizingatia Newcastle mchezajj wao Guimares amekula Red.
Fainali itachezwa mwezi gani?Asubuhi njema MUFC, Alhamis imeanza vizuri.
Imekuuma sanaa hahaha.Ukweli mchungu
Kwa mpira wenu wa papatupapatu hamuwezi mfunga Newcastle
Mtakasirika ila ujumbe umefika
[emoji23][emoji23][emoji23] mwaka wa 10 huu Arsenyani bila kushiriki Uefa, mwaka wa 20 bila kombe la Epl.Chukia tu
Bado hamuna timu ya kuifunga Newcastle fainali
Mwaka wa 6 bila kikombe Loading........
Kunywa maji halafu relax. Timu yako inayocheza mpira mzuri wametuliza mbupu wanaangalia wanaume kwenye TV. Timu yako ilishindwa kupata goli hata la kuotea dhidi ya Newcastle.Ukweli mchungu
Kwa mpira wenu wa papatupapatu hamuwezi mfunga Newcastle
Mtakasirika ila ujumbe umefika
Ni mchezaji wakawaida Sana ila mnajuaga kuwapamba wachezaji wenu Hata wenye mentality za u average