Imekuwa muda mrefu lakini probably nilikuwa ahead of time.bayern munich wamemsajili sabitzer kwa euro millioni 15 kwa mujibu wa vyanzo tofauti, sisi huku kwetu tunateseka na midfield ya fred, mctominay na matic.
wakati huo huo tayari bavarian wana huduma ya joshua kimmich, goretzka pamoja na tolisso ambaye yupo sokoni.
PTER ndoto yako imeshafelishwa na watu walio serious
Ilikuwa August 31 2021 wakati huo Sabitzer wa moto kweli ameenda Bayern lakini amekosa gametime.Wakati tunateseka msimu wa 2019/2020.
Nilisuggest tumsajili Donny Van De Beek au Dominick Szoboszlai, baadae tulimsajili Bruno hitaji la Donny halikuwa priority tena.
Msimu huu wakati sakata la Pogba lilikuwa halieleweki nilisema tumwachie Pogba tumsajili Marcel Sabitzer au Dominick Szoboszlai.
Kwa sasa RB Liepzig wamemsajili Dominick Szoboszlai na mechi ya kwanza ya Bundesliga akifunga magoli mawili from right midfield na wakati huo huo wakamuuza Marcel Sabitzer kwenda Bayern.
Ili kushinda makombe unahitaji Alphamale Footballers kadhaa kikosini kikosi chetu probably kina alphamale Footballers wachache sana ndiyo maana hakioneshi kiu ya mafanikio.
Tusubiri record mpya za kitakwimu kutoka kwa Dominick Szoboszlai akiivamia Bundesliga.
Yupo vzur huyo sinc anakipga lepzig.. ana kuoffer kukaba, kupress, na magoliNaona ili deal uhakika kutimia asilimia 80 limetimia vipi mkuu Chief-Mkwawa jamaa yupo vizuri kweli.View attachment 2501759
Msimu uliopita wote uliisha akiwa injured.N
Naamini, yuko serious na mpira...
Mm nlianza kumkubali kweny uero 2020
Ujio wa huyu jamaa utaongeza nini cha kutuweka top4? It seems umemfatlia sana.I wish to know more atafit vp kwenye kikosi chetu hususani kipindi hiki tunachohitaji matokeo tu?Ilikuwa August 31 2021 wakati huo Sabitzer wa moto kweli ameenda Bayern lakini amekosa gametime.
Hata kwenye michuano ya Euro hakuwa kwenye ubora huo na world cup qualifiers hakuwa na ubora huo wa zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie hamna maana hata kidogo, mmewapelekea Arsenyani fitna ya Jojinah, sasa hivi huko kwenye jukwaa lao moto unawaka, ni mwendo wa kutukanana wenyewe kwa wenyewe yaani ni hatari mno.Chelsea tunaendelea tu kusumbua ulimwengu kwa kufuru za usajili.
Kimombo tuwaachie Arse8 ambao wanatamba na harakati za kunyanyua ubingwa wa EPL 2022 - 2023.
Liverkuku Fans ni mwendo wa kisandawe kuchambua karanga badala ya kuchambua mpira kwa kimombo chao kileeee.
Kweli kutesa kwa zamu na kila kitabu na zama zake [emoji4]View attachment 2501664View attachment 2501665View attachment 2501666
Huyo jamaa ana mapafu kwl kwl.. naiona man u ndan ya 433 mido ikiwa chini ya casemiro,marcel na bruno.. jamaa anagusa namba zaid ya moja kuanzia DM,CAM,RW na LWUjio wa huyu jamaa utaongeza nini cha kutuweka top4? It seems umemfatlia sana.I wish to know more atafit vp kwenye kikosi chetu hususani kipindi hiki tunachohitaji matokeo tu?
Yani bahati yetu Sancho arudi vizuri, ndo mtu pekee ambaye Angalau anaweza kaa mbele incase Bruno anapewa role ya Eriksen, Sancho ana creativity.Yaani badala kuumia akina Scott/Fred tulete mbadala wao anaumia brain ya timu.
Kweli shetani yupo kazini dhidi yetu.
Yani bahati yetu Sancho arudi vizuri, ndo mtu pekee ambaye Angalau anaweza kaa mbele incase Bruno anapewa role ya Eriksen, Sancho ana creativity.
Hahahaa sijawahi kumuona mtu mwenye kipara asiye na akili.Upara myu makini sana yaani hana pupa ya kusajili kabsaa ni sajili 1-2 tu ila zinaleta balaa sana kwenye kikosi
S/O nyingi sana kwa ETH
Usihofu kuhusu hilo huyu ngoja tuzime naye moto kwa sasa.Done Deal here we go lakini kwa makubaliano ya mkopo na jamaa wajaweka kipengele cha kuuzwa moja kwa moja kwaiyo hata jamaa ang'ae vipi lazima haludi Bayern tu.View attachment 2501883
Uli-cross kichwani kwangu baada ya kuona jina Sabitzer nakumbuka ulitaja sana jina lake kipindi cha nyuma. Dominik Szoboszlai ni ndoto yangu kumuona siku moja akivaa uzi wa United ana akili nyingi sana uwanjani.Ilikuwa August 31 2021 wakati huo Sabitzer wa moto kweli ameenda Bayern lakini amekosa gametime.
Hata kwenye michuano ya Euro hakuwa kwenye ubora huo na world cup qualifiers hakuwa na ubora huo wa zamani.
Hahaha sio vizuri kuombea mabaya wachezaji wetu bhana kasoro Harry Maguire.Yaani badala kuumia akina Scott/Fred tulete mbadala wao anaumia brain ya timu.
Kweli shetani yupo kazini dhidi yetu.
Upo sawa kweli, jibu lako ni tafsiri ya utu wako, unasafari ndefu kuufikia utu wako wenye hekima.[emoji375][emoji375][emoji375]Punguza ujuha na ushangingi si nimesema case closed mlikuwa na performance nzuri kama unavyotaka kujiaminisha au unataka nn[emoji23]?
Good signingDone Deal here we go lakini kwa makubaliano ya mkopo na jamaa wajaweka kipengele cha kuuzwa moja kwa moja kwaiyo hata jamaa ang'ae vipi lazima haludi Bayern tu.View attachment 2501883
[emoji28][emoji28][emoji28] tuna fan base ya ajabu sana[emoji23][emoji23][emoji23] nyie hamna maana hata kidogo, mmewapelekea Arsenyani fitna ya Jojinah, sasa hivi huko kwenye jukwaa lao moto unawaka, ni mwendo wa kutukanana wenyewe kwa wenyewe yaani ni hatari mno.
Flano umenichekesha Sana, halafu ukiona natukanwa unaongezea petrol ,huna maana kabisa wewe[emoji23][emoji23][emoji23] nyie hamna maana hata kidogo, mmewapelekea Arsenyani fitna ya Jojinah, sasa hivi huko kwenye jukwaa lao moto unawaka, ni mwendo wa kutukanana wenyewe kwa wenyewe yaani ni hatari mno.