Sure, alikua anacheza rafu za maksudi kabisaFair to say former Mag Andy Carroll was on a one-man mission to get some of #MUFC’s best players ruled out of next month’s Carabao Cup final last night [emoji15]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2499689View attachment 2499688View attachment 2499687
Target msimu huu ni top 4. Kombe lolote hasa hasa Carabao tutakuwa sawa tu. Kikosi kilichopo tunaweza kufikia hayo malengo as long as Casemiro atakuwa fit kwa 100%.FA
Carabao
EPL
EUROPA
Tuna mechi nyingi mbeleni, tutaweza kuziafford ?
Tayari Ericksen injury,,,,
Inavyoonekana hakuna usajili wowote unaotegemewa hii January,,,,
ikitokea suprise ni bonus kwetu !!
#GGMU
Haitakuwa rahisi kwa sasa huyu ni squad player kumbuka Bayern wana UEFA, DFB-Pokal na Bundesliga.Hivi bayern munich hawawezi kutupa gravenberch kwa njia ya mkopo akaungana na erik ten hag?
View attachment 2500415
Maneno, mdhamini wa training kit ni trezos, alafu greenwood anavaa jezi namba 11
Chiesa hata milion 200 watoe tuNasikia tunamtaka CHIESA kwa udi na uvumba
Broo kumbe unamjua, jamaa nasikia ni among ya top target za ETHChiesa hata milion 200 watoe tu
Amad ni average Player nimetazama Sana.Namuangalia amad diallo game ya fulham na sunderland dogo yupo vizuri sana aisee
Kuna tofauti kati ya kugoma kutoa fedha na kutokua na fedha ya kutoa.Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.
Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.
Hali kama hii iliwai kuitokea timu yangu ya FC bandari ya tanga tukaanza kupoteza mechi mpaka tukashuka daraja kwa kweli nililia saanaAise tuna shida aise eriksen injury na kaonekana jana anatembea na magongo kabisa na hapo kumbuka na DVB naye out hadi mwisho wa msimu.
Tunaitaji kiungo mwingine haraka iwezekanavyo maana hapo kiungo aliyebaki ni fred tu na tuna wimbi la mechi nyingi kweli na hatuna backup ya viungo wa kutosha.
na hatuwezi tena kupata mchezaji mwingine wa mkopo maana mwisho ni wawili tu na tayari tunao.
Tuna wakati mgumu kweli tuombe asiwe amepata majeraha ya muda mrefu maana ratiba yetu ya February tutacheza mechi nyingi kweli hafu wachezaji wameanza kupata injury.
View attachment 2499116
Hapa kikubwa cha kuomba ni kabla ya huu msimu kuisha Glazzer awauzie timu wale Waqatar.Sisi kiupande wetu nadhani dirisha tushafunga kikosi ndo hiki mpaka dirisha kubwa.
Maboss wamegoma kutoa hela kabisa wamesema hawawezi kutoa hela na timu wanaipiga bei kwaiyo tuvumilie tu hakuna kusajili.