Mkicheza na kina reading ,Charlton , forest , na timu Kariba hii mnadanganyana timu imeimarikaTimu inaimarika siku hadi siku. The future is bright. Glory glory Manchester United.



Na tunahitaji kutafuta replacement yake mwezi wa sita.Ericksen ameshaumia dah.. Tatizo linaanza hapa
Mmebaki historia tu
Hao unaowasema wanaofaa kusemwa timu ipi haijafungwa na Man United msimu huu?Mkicheza na kina reading ,Charlton , forest , na timu Kariba hii mnadanganyana timu imeimarika
Timu kariba hii ambazo hazipress ziliwadanganyeni mnagombea EPL![]()
Apandishwe mmoja au wawili kutoka academy.Aise tuna shida aise eriksen injury na kaonekana jana anatembea na magongo kabisa na hapo kumbuka na DVB naye out hadi mwisho wa msimu.
Tunaitaji kiungo mwingine haraka iwezekanavyo maana hapo kiungo aliyebaki ni fred tu na tuna wimbi la mechi nyingi kweli na hatuna backup ya viungo wa kutosha.
na hatuwezi tena kupata mchezaji mwingine wa mkopo maana mwisho ni wawili tu na tayari tunao.
Tuna wakati mgumu kweli tuombe asiwe amepata majeraha ya muda mrefu maana ratiba yetu ya February tutacheza mechi nyingi kweli hafu wachezaji wameanza kupata injury.
View attachment 2499116
Zidan IqbalApandishwe mmoja au wawili kutoka academy.