Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lwa hii timu inavocheza kwangu kama kocha hatobadilisha mentality ya mawinga wake hata aje benzema au lewandosky hawez kushine apa.. tuna winga zenye akili za kipumbavu, ubinafsi umewajaa...

Inanisikitisha sana watu wanapomueka rashford kundi moja na mbappe[emoji2365]
 
Hii sheria ya Offside hii inatuchanganya sasa..

Possession yote hii na hatujacheka na nyavu..

2nd half inabidi tuanze kwa kasi tumalize game mapema.
 
Back
Top Bottom