Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sub kocha leo kachemka sana..Eriksen alikuwa katepeta..Angetolewa aingie Fred..then Werghost atoke aingie Garnacho,Shaw angempisha Malacia..naamini tungekuwa na spidi kidogo.

Anyway..GGMU.
Werghost sio mchezaj kama tulikuwa pungufu tu uwanjan
 
Sub kocha leo kachemka sana..Eriksen alikuwa katepeta..Angetolewa aingie Fred..then Werghost atoke aingie Garnacho,Shaw angempisha Malacia..naamini tungekuwa na spidi kidogo.

Anyway..GGMU.
Mngeliwa tu
 
Wakati Rashford anafunga bao yani hata hajamaliza kushangilia huku Baleke naye anaipatia bao la kuongoza Simba

Mechi hizi zikiisha zikiwa zimepata ushinda, siku yangu itamalizika vizuri sana leo
Weee acha bwana
 
Mechi tatu zijazo tunacheza saa 5 usiku.
Kwa nini kila siku sisi?
Hio saa 5 usiku wataangalia wenyewe.
Mechi za saa 5 zimenitoa nyongo baada kufungwa kifala na Crystal Palace, Yaani nipoteze usingizi halafu nipoteze tena points 3, ikifika asubuhi muda wa kazini nianze kujilaumu, huo upuuzi siufanyi tena labda iwe ni big match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…