Nipo karibu na mdau wa livekuku hapa amekubali kua huyo jamaa ni bonge la kocha.Erik ten Hag has beaten Pep Guardiola, Jurgen Klopp, Antonio Conte and Mikel Arteta in his first six months at Man United.
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2481396
Huyo hata bure haitajiki United.Hivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Tunataka aanze uyu jumapiliThe fox in the box, Wout Weghorst.
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2482729
Hivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!
Ashukuriwe aliyekataa kumwajiri Conte kuinoa Utd, jamaa kawa "mweupe sana".
Sunday next week tunazika humu humu au tunasafirisha ?jiandaeni kisaikolojia tutawaacha Uchi,first game Partey hakuwepo and now on counter attacks tunajua jinsi ya kuzizuia tutawararua mtajuta kuja Emirates mtajuta
Mkuu hapo siwezi kukuelewa kirahisi, uwezo wa Chicharito, Rafaeli na Van Persi unaeleweka pale united. Swala la kutofanya vizuri huko walikoenda hii kwangu sio hoja.sababu hajapewa watu wake anaowataka, in real life mpira sio kama Fifa na Pes unachukua timu unacheza,
LVG alikuwa wazi kabisa anataka nini na hakupewa anachotaka so akachukua hao watoto. LVG ana UEFA ubingwa wa La liga, Bundesliga, Ligi yao uholanzi etc. katoa malegend kibao, hajaanza ukocha na UTD.
angalia wachezaji walioachwa na LVG kama Rafael, Nani na wengineo walifanya nini walivyoondoka UTD? si tu timu kubwa hazijawataka, hata hizo ndogo hawakucheza vizuri.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] SugunyoLiverpool kila upande anakutana na ndoige..
Emirates Kuna atmosphere Kali , pia huwa tunafungulia Busta Zote sababu ya sapoti ya mashabiki , wachezaji wanakimbia Sana , flow ya pass huwa Ni kubwa Sana .Hii sijaielewa. Najua tuna kanuni zetu za ushindi. Lkn hii ya asernal kuji assure wattatupiga point tatu sijaipata vema, Wana uwezo Gani maana mm hata mechi zao siangaliagi.
Duh Kwa hiyo kijana unataka kusema hii mech na man city ilikuwa Cha mtoto??Emirates Kuna atmosphere Kali , pia huwa tunafungulia Busta Zote sababu ya sapoti ya mashabiki , wachezaji wanakimbia Sana , flow ya pass huwa Ni kubwa Sana .
Kaangalie mechi ya Arsenal vs Newcastle iliyoisha 0-0
Alikuja na 4-3-3 tupishane , walipoona Moto unakuja tu ,for the first time Newcastle wakabadili mfumo 5-4-1 , na kupoteza muda ndipo wakapata Draw
Silaha yenu Ni kaunta attack tu, hamna uwezo wa kubattle Midfield , kimbembe kitaanzia hapo .
Ikibeba ndoo ndio tuta conclude..mapema Sana kusemaSio wapuuzi. Uwezo wao ni huo, wamekutana na timu bora
Wewe kwa hali uliyonayo usisogee hata katika banda umiza,utapata kesi.....Arsenal hii madogo wanajua alafu wanajua tena......unapigwa mpira mtamu mpaka wapinzani wanàfurahia.....kama Conte jana amemwaga machozi hadharani ,wewe si tutakubeba kabisaDuh Kwa hiyo kijana unataka kusema hii mech na man city ilikuwa Cha mtoto??
Utaacha nisiangalie maana nina presha ya kufa mtu
Karibuni Emirates. Mje kimya kimya ama Kwa matarumbeta ni juu yenu sisi tunawasubiri. Cha muhimu mfike na mbaki mpaka shughuli iishe.Wambieni wafiche bunduki zao
mlitutuma kwa man city
Sasa kibao kimegeuka man city wametutuma kwenu☝
View attachment 2481073
Cry moreSpurs wapuuzi Sana, wanachapika tu hapa !
Conte ameishiwa mbinu ? Kule mbele amna kitu kabisa ,,,,,, zile mishe mishe za son na kane ku-exchange position siku hizi hazionekani kabisa,,, wapo wapo tu
Alijua Saka atapiga Vpass [emoji1787] so concetration akaiweka upande wake wa kulia ,kustuka mpira upo kifuani akasema bora yesheeeeeeeNi bora ndio ila magoli ni mistakes za wachezaji, sasa Loris pale alikuwa nawaza nini si zawadi kabisa hiyo katoa?