Sio wapuuzi. Uwezo wao ni huo, wamekutana na timu boraSpurs wapuuzi Sana, wanachapika tu hapa !
Conte ameishiwa mbinu ? Kule mbele amna kitu kabisa ,,,,,, zile mishe mishe za son na kane ku-exchange position siku hizi hazionekani kabisa,,, wapo wapo tu
Goal la Kwanza la kizembe Sana ,,,, kule mbele Amna amsha amsha !!!!Sio wapuuzi. Uwezo wao ni huo, wamekutana na timu bora
Kweli mkuu.Mimi nilisema humu..Spurs sio timu ya kuitumainia kabisa..sisi tuendelee kushinda mechi zetu tu mdogo mdogo.
Huna akili.Uyu kocha munampamba apa akipoteza mechi mbili tu mutaanza mponda, ndio maana tunawaita manyumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mchizi boti umerejea..litimu lako likifanya vizuri kidogo ndio unaonekana. Au muda wote unakuwa shimoni nini 😀😀😀Huna akili.
Endelea kuvuta bangi hapo mitaa ya unga limitedi.
Sema kesi yake inasikilizwa, ukiangalia na umri wake ni kuombea kama atakutwa na hatia apewe nyundo chache akitoka atacheza tu tena, ila wenzetu wapo makini sana kwenye sheria, ngoja tusubiriYaani huyu Greenwood tumepoteza mashine ya mabao yule dogo akilitizama goli ni either kipa adake au kamba. Ni mara chache sana kipa akadaka shuti lake au kupaiza.
Liverpool kila upande anakutana na ndoige..Manchester United Women are on fire right now [emoji91]
Getting [emoji2390][emoji2388][emoji2390][emoji2391] under way in style [emoji41][emoji91]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2482595
Ni bora ndio ila magoli ni mistakes za wachezaji, sasa Loris pale alikuwa nawaza nini si zawadi kabisa hiyo katoa?Sio wapuuzi. Uwezo wao ni huo, wamekutana na timu bora
RVP kaondoka UTD kwenda Fenerbahce, ingekuwa ni striker mzuri kama unavyodai kipindi hiko kuna timu ngapi kubwa ulaya kwanini hakuenda huko?Unamaanisha nini? Wewe ungependa afanye nini zaidi ya kucheza.
Wajinga wenzio waliniibia simu yangu, ila leo mungu kaniona, nimeokoa kachenji flani nimenunua simu nyingine.Hahaha mchizi boti umerejea..litimu lako likifanya vizuri kidogo ndio unaonekana. Au muda wote unakuwa shimoni nini [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawana sumu hao.Hawa newcastle mbona wanatufuat fuata sana ..
Dah wanakera sana mkuu, walikua wapi siku zote ndio wanaanza kujiona mastaa wa kukaa top 4..mbaav!Hawana sumu hao.
Kwanza wako juu mchezo mmoja.
Kuendelea kupata vichekesho Kama hivi tubonyeze ngapiHivi nyie manyumbu mngekua na Partey sijui tungeishi vipi sisi.
Partey mmoja ni sawa na maCasemiro 1000!