D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Sijaona update yeyote kwa hawa waandishi wenye ukaribu zaidi na maskani ya old trafford.Vipi deal ya Joao Felix,limekwamia wapi?
Mbona ile app bado inafanya kazi mkuu? Nimecheki ni hivyo hivyo ulivyoandika hakuna habari zaidiSijaona update yeyote kwa hawa waandishi wenye ukaribu zaidi na maskani ya old trafford.
Chief-Mkwawa una access ya huu mtandao wa the athletic?
Kama umesoma hiyo makala, laurie ana lolote juu ya felix?
Binafsi huyu jamaa japo wengi wanabeza usajili wake ila namuona akija kufanya vizur pale OT, yuko vixur hewan, ana nguvu, anapress vizur for back up striker ni mzur kulko 9 yetu ya sasa martialView attachment 2472456
Jamaa Anakaba kushinda Midfielder
Besiktas on loanKumbe anacheza Burnley?
The gafferSura ya kazi...sura ya kijeshi..ronaldo na selfish ego yake amegonga mwamba kwa mwamba huyu
Rashford alichelewa nini sijui ,mwamba akamuambia nakupiga adhabu, gafla akamuambia nimebatilisha adhabu yako utaenda kucheza mechi na nataka uonyeshe kiwango safi,
Mwamba anasema sajili zilizopita zilikua za kawaida tu , kuvaa jezi ya man utd inatakiwa uwe na hadhi ya kuivaa na uwe na moyo mgumu wa kuhimili presha na magumu yote, View attachment 2472809
Bora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosaMchana nyavu au Ighalo part? 2View attachment 2472937
Jamaa pia lirefu..linaweza kutusaidia..Bora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosa
Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pensionBora aje huyu, martial apate changamoto, anaruka ruka tu pale mbele, goli kibao anazikosa
This is Pep wannabe who's older than pep himselfSura ya kazi...sura ya kijeshi..ronaldo na selfish ego yake amegonga mwamba kwa mwamba huyu
Rashford alichelewa nini sijui ,mwamba akamuambia nakupiga adhabu, gafla akamuambia nimebatilisha adhabu yako utaenda kucheza mechi na nataka uonyeshe kiwango safi,
Mwamba anasema sajili zilizopita zilikua za kawaida tu , kuvaa jezi ya man utd inatakiwa uwe na hadhi ya kuivaa na uwe na moyo mgumu wa kuhimili presha na magumu yote, View attachment 2472809
Baada ya kumpata casemiro mnaona sasa mjaribu kila mchezaji wa wanaume ili muuziwe? ...eti benzemaDahhii timu bwana yale yale ya ighalo mnataka benzema wanawapa ighalo kweli matajiri wamegoma kumwaga hela.View attachment 2472409
Kane hawez ondoka Spurs,,, sijajua mkataba unaisha lini,,,,naona Kama watamsapot Conte na more signings,,,, kane atakuwa sehemu ya project!Jamaa pia lirefu..linaweza kutusaidia..
Mwezi wa sita tuende na Harry Kane.
Alafu nashangaa, huwa wanamuongezea tu mkataba ? Uingereza unammbeba !Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pension
Jones simuonagi hata bench 😃Binafsi sioni miaka hii miwili kama martial atasalia pale OT, ila kuna chuma kinaitwa Phil Jones kwanza kiligoma kukuwa kiwango kwakuwa sijui uchawi upo mwaka wa 12 huu chuma bado kipo kinakula pension
Mkataba wake upo ukingoni na sioni Kane akisign mwingine..So Spurs watalazimika kumuuza ili wapate chochote kitu.Kane hawez ondoka Spurs,,, sijajua mkataba unaisha lini,,,,naona Kama watamsapot Conte na more signings,,,, kane atakuwa sehemu ya project!
Bad luck to him, umri unasonga, top talent hajashinda major trophy yoyote,,,, jua linazidi kuzama !