Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi yule Gray wa Everton Man U huwa hawamuoni. Tangu akiwa Leicester alikuwa
balaa
Wa kawaida sana halafu umbo Lake hatofautiani sana na Amad Diallo.

Ila ndiyo mchezaji pekee wa Everton nnayemkubali, huwa nikiona tu Everton najua Gray atafanya unyama ila kwa kiwango chake cha sasa na watu tulionao watazidi kujazana tu mawinga wenye quality sawa.
 
Dogo alikuwa na bright future ila ndo hivyo tena..kipochi manyoya kimemponza..

Angekuwa ameiva sana saivi naamini hivyo.
 
Dogo alikuwa na bright future ila ndo hivyo tena..kipochi manyoya kimemponza..

Angekuwa ameiva sana saivi naamini hivyo.
Angekuwa mchezaji muhimu sana kwa United muda huu tena chini ya EtH angekiwasha sana.

Wenyewe wanasema "A custodial sentence is inevitable if a person is found guilty of attempted rape." na ana mashitaka matatu, sijui atachomokaje hapa.

Hii kesi social media ndiyo imeichochea zaidi, watu hawataki kingine zaidi ya haki kwa yule binti.

Greenwood f*cked up big time!
 
Seventh-straight win for Manchester United


#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 

Attachments

  • IMG_20230107_131300_615.jpg
    163.4 KB · Views: 12
Ten Hag: mufc have bought an unimaginable number of players in recent years who have not been good enough.”

Most purchases have been average - and at mufc average is not good enough. United's shirt weighs heavily. Only real personalities, who can perform under great pressure, can play here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…