D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Licha ya kwamba bado hatuperform kwa kiwango cha juu ila jicho langu bado linaniambia Ukimuondoa manchester city hakuna timu nyengine yenye uhakika wa kutufunga na kutuadhibu bila ya huruma kwa wakati mmoja.Kuna kimbunga kinakuja karibuni hapa 2 matches na Barca ,huku FA cup, huku Epl unasubiriwa Emirates,n.k
Hata Ajax alikua hivi hivi ETH anajua amenunua nini, kipindi anasajiliwa Mashabiki wa ajax walikuwa wanasema ni Big game player ila mechi ndogo nyingi anakuwa hana motivation.Ndio kilichomleta hiko kuzuia counter[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?????
Hili galasà uzeni mapema mkuu
Hata Ajax alikua hivi hivi ETH anajua amenunua nini, kipindi anasajiliwa Mashabiki wa ajax walikuwa wanasema ni Big game player ila mechi ndogo nyingi anakuwa hana motivation.
Amesajiliwa kutupa width na kucover upande wa kulia hio ndio kazi yake muhimu zaidi, na anaifanya vizuri tu hio kazi.
Nikweli kabisa hata huyo city tukikutana nae mrudiano oldtrafford ni vigumu kutufunga tena.Licha ya kwamba bado hatuperform kwa kiwango cha juu ila jicho langu bado linaniambia Ukimuondoa manchester city hakuna timu nyengine yenye uhakika wa kutufunga na kutuadhibu bila ya huruma kwa wakati mmoja.
Kuna kufungwa na kuadhibiwa
Nasisitiza hakuna.
[emoji23][emoji23][emoji23] 10 Hag hana masihara ukijifanya una unausingizi sana mpaka ukachelewa mazoezini au kwenye pre game meeting unakula bench bila kuangaliwa usoni hata kama ndio mchezaji tegemeo kwenye timu.Rashford: “I overslept and I missed the pre game meeting. I was a little bit late. It's the team rules and I understand the decision”,
Short tempered huyo manager kibonde wenu[emoji23][emoji23][emoji23] 10 Hag hana masihara ukijifanya una unausingizi sana mpaka ukachelewa mazoezini au kwenye pre game meeting unakula bench bila kuangaliwa usoni hata kama ndio mchezaji tegemeo kwenye timu.
Kocha simamia hapohapo kwenye ni nidhamu ya timu maana kuna michezaji ilikua ishaanza kujiona mifaza hapo OT.
Are you serious Jombaa? Huwezi kuwa na uwezo wa Casemiro ktk umri wa miaka 18.
Kuna wakati namuangalia Casemiro natamani angekuwa na umri wa Garnacho.
Daemushin, Tunza hii comment yangu, nitafute tarehe 28 mwezi wa 5, 2023 saa mbili usiku.MUFC have won all 10 games when they've been leading this season.
7 cleans sheets so far, only #NUFC with 9 have more.
Kwaio unataka kusemajeDaemushin, Tunza hii comment yangu, nitafute tarehe 28 mwezi wa 5, 2023 saa mbili usiku.
Tofauti yetu na Arsenal mpaka leo siku ya mwisho wa mwaka 2022 ni alama 11 tumefanana michezo wote tumecheza mechi 16.
Hawakati kodi hukoKwa miezi 30 aliyo saini mpaka anamaliza mkataba wake atakuwa amevuna Tsh. Trilioni 1 na billion 230. Ndie mchezaji anae lipwa zaidi duniani katika michezo yote unayo ijua. Hiyo ni rekodi ya duniani haijawahi kutokea awali aliyekuwa analipwa zaidi alikuwa Mbappe.
1. Cristiano Ronaldo
2. Mbappe
3. Nikola Jokic