Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Sijui kama leo tutalala kwa kelele utakazotupigia.
Mtakoma Leo Lazima niwafungie darini!
Bado Nyie siku mkitia mguu Darajani mnanyongwa!
Sijui kama leo tutalala kwa kelele utakazotupigia.
#ChaWote ......#TeamChaWoteCha kufurahisha ni kuwa Moyes kalinda heshima ya kutofungwa na Arsenal na game ya pili lazima tuwalambe vizuri tu maana Rooney and Van Magoli watakua fit
Mtakoma Leo Lazima niwafungie darini!
Bado Nyie siku mkitia mguu Darajani mnanyongwa!
Hamna lolote kelele zenu tu washabiki Morinho mwenyewe anajua ndo mana hapigi kelele kama zamani
Kama vile tunavyojipigia Arsenal nje ndani
Kama vile tunavyojipigia Arsenal nje ndani
Ul kama unaona Moyes ni mzigo hamia kwenye makocha wazuri
Ahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahhahahahahangojeni kesho niingie ofisini mtalia aisee.
Ul kama unaona Moyes ni mzigo hamia kwenye makocha wazuri