wenye timu hawaoni kama ni mzigo.moyes na yeye ni mzigo kama mawaziri wa bongo,dirisha hili litafungwa hajasajili,dirisha kubwa likifunguliwa mwe julai hadi litafungwa hatasajili...ni mzigo kwa kweli
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.
Kanyaga twende.
wenye timu hawaoni kama ni mzigo.
Vidic gets a red card....
#ChaWote ......#TeamChaWoteCha wote wakati nyi mlipigwa!!
wenye timu kina nani?hata sisi mashabiki tunasehemu yetu katika timu,waulize hao akina Glazer kama hawawatambui washabiki na wanachama?