Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
waite na masudukayo waje wakusaidie maana unajibu kihuruma kwelii! But siyo ishu we vumilia tu.
Yani Mwanangu hapo kwa Masadukayo ndio umeniacha hoi!
Kwi Kwi Kwi Kwi!
waite na masudukayo waje wakusaidie maana unajibu kihuruma kwelii! But siyo ishu we vumilia tu.
Taratibu punguza jazba basi! Hebu kwanza nenda kapate glasi ya maji eeeh baba!!
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.
Kanyaga twende.
Na bado Man City Tarehe 3 Lazima tumnyonge!
Pole Mkuu!
Asante arifu....soka hii.....acha tu.....tutakaa vizuri tu.....ila naelewa furaha za raia sasa, wengi waliumizwa sana na mafanikio ya #ManUnited kwa karibu miaka 20.....sasa ndiyo wakati wao wa kupiga mayowe.....
rubaman unavyosema wachezaji wazuri wataacha kuja kama tukikosa UCL una maana?
Ebu ngoja kidogo:
Man Shitty kabla ya Mancini, ilikuwa inacheza UCL eh? Mbona ilipata wachezaji wazuri? Kun, Toure, Silva etc.
PSG, akina Pastore, Ibra n.k. walienda timu ikiwa inacheza UCL?
Na Falcao je, ameenda Monaco inacheza UCL eh?
Suarez alienda Liverpool kucheza UCL eh?
Katika dunia ya soka sasa ni pesa tu, pesa yaweza kutengeneza timu ya ubingwa. Angalia Chelsea (mwanzoni mwa Abra), Shitty, PSG na Arab money.
Sasa kama pesa ya kurebuild timu, United wanazo.....kama siyo mwezi huu, basi summer, #ManUnited will be rebuilt......
Najua sasa tuna mtihani mkubwa mno wa kuhakikisha tunaingia top 4....however, even 1 season in Europa won't hurt us that bad.....Liverpool has been struggling but still is one of the richest clubs in the world, having the most expensive sponsorship deal in EPL...
It is hard to take it....but as a supporter, I am ready for any adventure.....
Mpira ndio ni pesa lakini kucheza CL kuna matter sana katika kushawishi mastar kuchezea timu. Faida nyingine ambayo nadhani unaifahamu ni pesa zitakazokosekana au niseme hasara itakayopatikana kwa Man utd wasipocheza CL kwa misimu kama miwili hivi. Hizo pesa za kusajili hivyo vifaa zitatoka wapi? Ingawaje Man utd ni timu mojawapo tajiri lakini haina traditions za kumwaga pesa ovyo ovyo katika usajili kama hizo timu ulizozitaja hapo juu. Kumbuka kingine hizo timu zilikuwa ovyo kiuchumi kabla ya hao Waarab nk ku- invest. Kwa hiyo wawekezaji walikuwa na option moja tu ya kumwaga pesa. Kina Glazers sijui kama watamwaga mabilioni kama yaliyomwagwa Chelsea, PSG, Monacco, Citeh kuattract wachezaji na sijui kama hao wachezaji watakuwa convinced. Tusubiri tuone baada ya msimu huu itakavyokuwa maana kuna wachezaji lukuki wapo way way below ya standard inayosadikika ni ya Man utd. Anyway, ki banter zaidi zaidi the worse may longer continue. Lol.
At least you have talked sense....Glazers know that they need to splash cash like they have oil money to stay rich....that's why they have over £100 million ready to buy players....
The good thing is the board is backing up DM....the board knew it would be tough for DM, so they gave him this season to sort out the weakest links for rebuilding in the summer....hopefully, the board will be putting more pressure on the Glazers to splash monies to rebuild the team......
It is hard to get top players in this January window...but the team is gambling into getting a couple of players to strengthen the club.....
Baada ya nyinyi watafuata kina Chelsea na Citeh.Anyway, ni muda wa timu zinazoendeshwa vizuri kiuchumi kama Arsenal, Liverpool, Spurs kupumua
Sasa unaleta utani, uchumi upi unaongelea? Si hizo timu zingekuwa tajiri zaidi ya United? Come on Liverpool, Arsenal and Spurs?!? They aren't even selling shirts more than United? I can't even talk about the global fan base!
OTH, I told you, by just using common sense, Glazers will be forced to spend hard, otherwise, their business is ruined. As businessmen, they know that. It is a different era, under SAF, United had the power to win titles even with average squad. DM aint SAF, so, Glazers will spend money to stay atop and avoid ruining their business. This is what will happen and not otherwise, I know you won't like it, but take it or leave it....
We will be back (in Arnold's voice).