Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Javierrrrrrr.....can't stop him from scoring against Chelsea....3-1
 
Tubondwe ili kocha anunue wachezaji. Bado siku 11 na hakuna hata mmoja aliyenunuliwa.
 
Tubondwe ili kocha anunue wachezaji. Bado siku 11 na hakuna hata mmoja aliyenunuliwa.

moyes na yeye ni mzigo kama mawaziri wa bongo,dirisha hili litafungwa hajasajili,dirisha kubwa likifunguliwa mwe julai hadi litafungwa hatasajili...ni mzigo kwa kweli
 
Mmasai wa Chelsea Willian ametoka.. Jamaa namfananisha na mmasai mmoja hivi kasoro hana mwanya tu.
 
Back
Top Bottom