Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingiaIssue ni kwamba hakuna profile tunayoitaka sokoni, kwa Bei jamaa angetusaidia sana Depth.
Ni world-class players lakini ama?Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
United hawakuwahi kuweka bid!Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia
Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo
Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
Ila lisandro mtu Sana, namkubali kwenye pass tuCasemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.
Ulisoma story ya Licha? Kampigia simu ETH anaomba kuja UTD ananmwambia akikataa ndio Ataenda Arsenal.
Ukitoa Mbappe na Haaland hakuna World class mtoto, Mpaka Uwe world class unahitaji kuprove at top level, so World class wengi ni Hao NSSF, kwa form Zao Varane na Casemiro msimu hii i dont mind NSSF mwengine.Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
Inawezekana hawakumuhitaji haswa , au Liverpool wamefanya ushawishiUnited hawakuwahi kuweka bid!
Sasa kama hawajaweka bid, kushindwa kwenye ushawishi kunaingiaje hapo?Inawezekana hawakumuhitaji haswa , au Liverpool wamefanya ushawishi
Kwa man u Sasa inahitaji ku establish style ya kucheza ,ili mchezaji anapokuja anajua naenda kufanya Nini
Huenda Liverpool kupitia Klopp wamewazidi man u kwenye ushawishi
Tatizo la Joao ataweza kublend na Bruno? Labda kwa vile anapatikana kwa mkopo pengine risk ndogo,Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia
Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo
Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
Man u ametajwa Sana alikuwa na mazungumzo na wakala wa GapkoSasa kama hawajaweka bid, kushindwa kwenye ushawishi kunaingiaje hapo?
Felix kwa Chelsea namuona Kama atakuwa Havertz wa 2 au mount ,Sababu Chelsea had Sasa haijulikani inacheza aina gan ya football ,haijulikani Mount ,Havertz wanacheza position zipiTatizo la Joao ataweza kublend na Bruno? Labda kwa vile anapatikana kwa mkopo pengine risk ndogo,
Na Chelsea wameshakua kama sisi Zamani, Felix si kama tu kina Havertz na Mount? Anakwenda tu kuongeza idadi.
Kuna rafiki yangu Ni man u kila Siku ananiambia huyu Gapko kila akimuangalia anaona kabisa hatafiti man u , hii taarifa itakuwa imemfurahishaUnited hawakuwahi kuweka bid!
Gapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondokaYule Anthony ,man u fans watakuja kukubali baadae Sana kuwa Ni wakawaida
Bei ya Gapko Ni nzuri ukilinganisha na ya Anthony au Sancho ,maana Ni Aina hiyo hiyo ya wachezaji.
Huenda Gapko kabadili mawazo Jioni
Huyu pekee alikuwa na msimamo wake.
Romano mpaka leo Asubuhi alikuwa anasema Gakpo anataka kwenda United, bonge la boko.
Position, Antony ni Right winger na Gakpo ni left winger.Gapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondoka
Kuna viashiria , Anthony alikuwa target ya Kwanza ya Kocha ,hivo waliamua kumskiliza Kocha anataka NiniGapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondoka
No way Psv wameshatangaza Official kabisa ina maana mikataba ishasainiwa kila kitu, haya sio mambo ya leo.Huenda Gapko kabadili mawazo Jioni
Unasemaje!!!?Huna uwezo wa kusajili world class players kwa sasa
Hili neno world class player mnalitumia vibaya na halijawahi kuwa na maana rasmiUnasemaje!!!?
Kwahiyo tulivyomsajili Ronaldo alikuwa siyo world class player?
Utafikiri Arsenal mna uwezo wa kushawishi world class players kuja kwenu. Timu yenu ina miaka mnanunua wachezaji wa mafungu.
Gakpo na Felix siyo world class players. Siyo wachezaji wa kusumbua vichwa kwenye kusajili.
Liverpool wako faster ku-make decision kusajili wachezaji tofauti na United.Luiz,Thiago walisajiliwa the same styleNo way Psv wameshatangaza Official kabisa ina maana mikataba ishasainiwa kila kitu, haya sio mambo ya leo.