Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mliokuwa mnalalamika kwanini Degea hajaitwa SPAIN mtakuwa mmeona jinsi Unai Simon anavyocheza
Wanaolalamika sio kwamba wana Mcompare De gea na Unai, bali De gea hayupo kwenye kikosi cha watu 55 na kuna makipa wa 5 mbele yake.Mliokuwa mnalalamika kwanini Degea hajaitwa SPAIN mtakuwa mmeona jinsi Unai Simon anavyocheza
Bado wale makipa watano , footwork zao Ni nzuri Sana kuzidi De gea, angalia Unai simon, Robert Sanchez, Hata Kepa Arizabalaga , now Chelsea wanatajwa kutaka kumuacha Mendy,Wanaolalamika sio kwamba wana Mcompare De gea na Unai, bali De gea hayupo kwenye kikosi cha watu 55 na kuna makipa wa 5 mbele yake.
Moja ya mashabik wa man u mwenye habari za ndani kabisa ,umeelezea vizuri Sana hili swala la man u kuwekwa sokoni ,Kuna mashabiki hawataki ukweli, Kuna wanaoamini Apple wanaitaka man u ,Aisee, Men ni Credible source? Si gazeti la udaku hilo? Na sky ni average si Credible kivile na hawajareport, kama wamereport weka source. Nikipata muda nitaweka Tier 1 source za Man united zote, ama kama kuna mtu anao karibu aweke ila source kama Men ni takataka mkuu.
Ni kama Mtu wa uingereza Aseme habari za Diamond na source yake iwe gazeti la ijumaa.
Men inamilikiwa na Mirror, wanare use tu habari zao
Makocha wengi mould za Barcelona hawana Plan B thats why De gea hayumo.Bado wale makipa watano , footwork zao Ni nzuri Sana kuzidi De gea, angalia Unai simon, Robert Sanchez, Hata Kepa Arizabalaga , now Chelsea wanatajwa kutaka kumuacha Mendy,
Ukiona jinsi Unai simon alivyokuwa anarudishiwa mipira mita chache tu, na Hana presha , unaona kabisa ile Spain ,Degea haimfai
Under 20. Alikuwa academy ya Chelsea. Sema Chelsea ni kawaida yao tu.Hivi musiala alikataliwa Chelsea au arsenal ??
dah Bayern wamelamba dume! Dogo Ni pure talent,, ! Ndo kwanza yupo under 25, Bado ana mengi ya kujifunza na ku-prove !
Hatari Sana mkuu ,,, !Under 20. Alikuwa academy ya Chelsea. Sema Chelsea ni kawaida yao tu.
Lazio pia timu kubwa mkuu, kama Spurs vile ligi ya uingereza. Ana bei ndefu sana kwa timu zinazomhitaji kama unavyoona Harry kane.Hatari Sana mkuu ,,, !
Kuna huyu mwamba sergej mil-savic nilikuwa sijawahi kumtazama vizuri kule Italy,,, kwenye hizi mechi mbili za WC ndio nimemtizama kwa ukaribu zaidi ,,, anajua Sana aisee top top talent !
Timu kubwa hazimuoni ? Ama lazio wanammbania !
£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.Hatari Sana mkuu ,,, !
Kuna huyu mwamba sergej mil-savic nilikuwa sijawahi kumtazama vizuri kule Italy,,, kwenye hizi mechi mbili za WC ndio nimemtizama kwa ukaribu zaidi ,,, anajua Sana aisee top top talent !
Timu kubwa hazimuoni ? Ama lazio wanammbania !
Bei ziko juu Ni Kama Levy anavyommbania kane,,, umri unakimbia anaanza kuchoka hajashinda chochote na maana, same kwa delcan rice na westham, hawamwachii kirahisi angalia hata addition walizofanya (pacueta + scammacca ) wanaonekana kuwa serious na project yao !£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.
Kila msimu huwa tunahusishwa nae.
vs XhakaCasemiro × Fred × Lucas , ngoja tuone hii mid ya samba boys !