True..Pogba kashtumiwa sn alikua kirusi enzi xa mourinho ila hakuwahi kutoka public na kuongoe upuuzi aloongoea ronado kwamba hamuheshimu kocha.. hyo ndo proffesionalism???
Ronaldo ni selfish na mtu mwenye ego sn anapenda kutukuzwa na kuheshimiwa ata ambapo hastahili..
Madrid kaondoka kwa shali, juventus kaharibu then anakuja kumalizia man u..
Ni mpumbav pekee anaeza kutetea ujinga huu
Toka ameondoka ameacha jacuzzi moja limeziba mpk leo halijazibuliwa[emoji1787] .....wapishi wao baada ya mazoezi wanawalisha Tu mihogo km yanga Kwann asilalamike[emoji23]Cristiano Ronaldo on Man Utd: "Nothing changed since I left. The pool, the jacuzzi, even the gym, even some technology. Even the chefs who I appreciate, lovely people". [emoji837] #MUFC
"I thought I would see new technology, infrastructure. I saw things I saw when I was 20!".
MKUU UNAPOONGELEA VIWANGO VYA WACHEZAJI WA SASA JITAHIDI SANA SANA USIWALINGANISHE NA CR7, MESSI,PELE, MARADONA. JITAHIDI SANA SANA.Kama unajua unajua tu mkuu hakuna cha kusema kaja flani cjui kaja nani, hakuna kitu kama hicho. Kuna watu walikuwa wansema kuja kwa Ronaldo kumemaliza kiwango cha Bruno, kiaje? Wewe leo unasema kuja kwa Ericksen, sio kweli kabisa.
Pale Madrid alikuwepo cr7, ilikuwa hata aje nani jamaa ndio alikuwa mwamba pale kwa misimu yote aliyokuwepo pale, na pale Barca alikuwepo Leonel, hata aje nani jamaa alikuwa juu tu, zaidi zaidi hao waliokuwa wanakuja ndiyo walikuwa wanapambana kutengeneza bond na hao viumbe ili wapate nafasi ya kuwa kwenye first eleven. So, ku flop kwa Bruno hakuhusiani na ujio wa yeyote yule zaidi ya yeye mwenyewe kushindwa kutunza kiwango chake.
Na hapo inawezekana huenda jamaa sifa zilimlevya au ameongeza sana starehe hasa mbususu kuliko kufanya mazoezi.
ETH Anapongezwa kwa sasa ila najua muda si mrefu utamgeuka.umeshaambiwa tatizo la united sio Ronaldo wala ETH tatizo ni viongozi wa hii club hawataki kuwajibu kwa ajili ya future ya club tangu aondoke sir Alex Ferguson mpk leo hakina transformation ndo maana timu inafanya vibaya wamekuja akina pogba, van gal, mourinho,lukaku wote wameondoka wanasema uongozi wa club ni tatizo ndo maana timu haiendi top level leo ameongea Ronaldo tena bado mnabisha mtaendelea kusindikiza watu wanabeba mataji miaka na miaka ndo maana mnaitwa united fans hili swala mlibebe msiweke chuki tu dhidi ya Ronaldo ameongea ukweli hata kama hakutakiwa kuongea
Bado kuna watu wataendelea kumtetea Ronaldo? Mchezaji kama huyu ni hatari sana kwenye timu. Ameisha na hataki kukubali ameisha, kiburi chake kinaweza kuua ari ya wachezaji kama kikilelewa.
Pongezi nyingi sana kwa EtH kwa kutokujali ukubwa wa jina lake, kwa MUFC sasa hivi Garnacho ni wa muhimu kuliko hata huyu 'Drama queen'
United fans wenye akili kubwa tu ndo wanaweza kuanza kuelewa huu mchezo wengine wanamdiscuss Ronaldo discuss alichosema Ronaldo kimeshasemwa na watu wa ngapi ambao walikuwepo united ndo maana hii timu tangua aondoke fergie hakuna tena cha maana kinachoendeleaKupitia kauli za Ronaldo nimeanza kumuelewa Van Gaal na Mourinho.
Kuna mambo hayapo sawa.
Mda wa lunch huu , chawa wa man U wametoka ofsini wamepata mda wa kushika simu , angalia watakushukia kama mwewe 😁😁😁Ronaldo : " vyoo na mabafu yote pale OT ni ya zamani , uwanja unavuja ,Mimi sinyi soda lakin walikuwa wananilazimaisha kunywa mo energy "
Yani kuna watu humu washajimilikisha hii timu, wajuaji balaa, 😁😁😁Watu mko BUZA uko mnajifanya mnajua sana kuliko Ronaldo ambae yupo pale pale manchester acheni ujinga
Nilikuwa naitafuta hii Comment mkuu, Kumponda Glazzer ni kutafuta tu huruma ya kuungwa mkono.True..
Na mambo ya Glazer kila mtu anayajua kuyaongea ni kutafuta tu sympath..
Yaani anasema waziwazi kuwa hamweshimu EtH..
Mshenzi kabisa huyu jamaa.
Hakuna timu pale , full siasa , hata huyo ETH ni suala la mda tuu,United fans wenye akili kubwa tu ndo wanaweza kuanza kuelewa huu mchezo wengine wanamdiscuss Ronaldo discuss alichosema Ronaldo kimeshasemwa na watu wa ngapi ambao walikuwepo united ndo maana hii timu tangua aondoke fergie hakuna tena cha maana kinachoendelea
Sawa mkuu lakini sasa hivi tupo kwenye Right direction,ETH Anapongezwa kwa sasa ila najua muda si mrefu utamgeuka.umeshaambiwa tatizo la united sio Ronaldo wala ETH tatizo ni viongozi wa hii club hawataki kuwajibu kwa ajili ya future ya club tangu aondoke sir Alex Ferguson mpk leo hakina transformation ndo maana timu inafanya vibaya wamekuja akina pogba, van gal, mourinho,lukaku wote wameondoka wanasema uongozi wa club ni tatizo ndo maana timu haiendi top level leo ameongea Ronaldo tena bado mnabisha mtaendelea kusindikiza watu wanabeba mataji miaka na miaka ndo maana mnaitwa united fans hili swala mlibebe msiweke chuki tu dhidi ya Ronaldo ameongea ukweli hata kama hakutakiwa kuongea
Hakuna anayebisha kuhusu uongozi mbovu wa united,shida ya Ronaldo ni kama anatafuta huruma kwa fans.ETH Anapongezwa kwa sasa ila najua muda si mrefu utamgeuka.umeshaambiwa tatizo la united sio Ronaldo wala ETH tatizo ni viongozi wa hii club hawataki kuwajibu kwa ajili ya future ya club tangu aondoke sir Alex Ferguson mpk leo hakina transformation ndo maana timu inafanya vibaya wamekuja akina pogba, van gal, mourinho,lukaku wote wameondoka wanasema uongozi wa club ni tatizo ndo maana timu haiendi top level leo ameongea Ronaldo tena bado mnabisha mtaendelea kusindikiza watu wanabeba mataji miaka na miaka ndo maana mnaitwa united fans hili swala mlibebe msiweke chuki tu dhidi ya Ronaldo ameongea ukweli hata kama hakutakiwa kuongea
[emoji3][emoji3]