Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji28][emoji28]
20221022_201927.jpg
 
Mimi nawashangaa sana mashabiki wanaopiga kelele kwanini tumefungwa.

Hakuna mahali pameandikwa timu zinapaswa kushinda kila mechi au timu kubwa ni lazima zishinde kwa njia yoyote ile.

Kinachotokea ndiyo football ilivyo, kila kosa unalofanya ni faida kwa mpinzani wako.

Cha msingi kocha apewe watu anaowataka huwezi kuhukumu uwezo wake kupitia kitu kilichojengwa na mtu mwingine.

Alimtaka Gakpo na msimu huu ndiyo anawasha moto hatari, mchezaji naye yupo wazi kujiunga. Uvumilivu ni kitu muhimu sana ukiwa shabiki.
Mashabiki wa yanga na simba hao hawataki timu zifungwe au kutoa sare.....
 
Service gn nyie mnazitaka ikiwa anapewa mipira anashindwa ku convert kuwa goals... tunampenda ronado ila tukubali tukatae kashamaliza mpira sio ronado yule wa enz zake
Hawa watu na Ronaldo wao bana...
 
Mimi nawashangaa sana mashabiki wanaopiga kelele kwanini tumefungwa.

Hakuna mahali pameandikwa timu zinapaswa kushinda kila mechi au timu kubwa ni lazima zishinde kwa njia yoyote ile.

Kinachotokea ndiyo football ilivyo, kila kosa unalofanya ni faida kwa mpinzani wako.

Cha msingi kocha apewe watu anaowataka huwezi kuhukumu uwezo wake kupitia kitu kilichojengwa na mtu mwingine.

Alimtaka Gakpo na msimu huu ndiyo anawasha moto hatari, mchezaji naye yupo wazi kujiunga. Uvumilivu ni kitu muhimu sana ukiwa shabiki.
Njoo ututeembelee kwenye jukwaa letu la arsenal ndugu upo vzuri cyo Flano anatuzngua tu
 
Ya

Yah ni kweli...lakin kinachojengwa ni kipi na huku mambo ni yale yale yanajirudia mechi hadi mechi...ukiangalia mechi za hivi karibuni utd wanastrago sana kufunga

Ukifatilia utajua kocha washambuliaji ni Ben Mcarthy msauzi labda shida ndo inaanzia apo!!
Dah waafrika Mbona hawaaminiki kiasi hicho[emoji23][emoji23]..yaan Sisi wenyewe tunajiweka inferior kazi Kweli kweli
 
Mnapiga kelele mnataka kuchukua ubingwa na hawa kina Elanga ?

Kocha apewe muda, madirisha walau mawili ,,,,

Kwa Hali ya Chelsea na Spurs Bado naamini tuna nafasi ya kuingia big 4 !

Watu mnamshambulia bruno Mara ooh kashuka kiwango, hafungi sijui assist, jana amekosekana pengo limeonekana ! Jamaa ni mfia timu, timu ikiwa inashambuliwa utamuona anapambana kuzuia, timu ikiwa inashambulia yumo ,,,morali kwa wenzie ? Vdb Ni hewa kabisa !!!! ..

Nilisema hapa mapema kabla ya mechi, Kati ilifaa acheze case na Fred, Ericksen asogee kwenye namba 10!!!

Note! Case na Licha Ni wafia timu, jamaa full kupambana ! Moja ya sajili Bora za utd kwenye miaka ya karibuni !!!!

Anthony Santos ? Tunammiss Sana ! Hopefully soon atarudi !

Trust the process
 
Trust the process means to believe in Arteta and Arsenal
 
Ukiskia dunia haina huruma ndio huku sasa......huku kichapo cha villa huko ufutuhini kuna barcenyeto hehehehe stress fc
 
Jamaa ni mzigo ila wanaleta excuse, kuna sehemu angepasia winga alafu aingie ndani akapewa, badala yake anafumua juu, mbona martial alimchopia but hakuna kitu badala yake yupo late.

Tunahitaji aggressive attacker popote ni hatari.
Timu yetu akicheza Ronaldo tunakuwa hovyo kuzidi..

By January atimuliwe..tuingie sokoni kutafuta namba tisa.
 
Hatuna bahati, kwa miaka ya karibuni kila draw lazima tukutane na giant au timu ambayo ipo form na sisi tia maji tia maji tu.

Team za Spain hazijawahi kutuacha salama. Yani vibonde wote wale lakini bado imetokea tupo na Barca.
Hatuna cha kuogopa mkuu,,, Barcelona sio wazuri kiiivo, enzi za kina xavi iniesta na Messi sio hizi za kina eric Garcia, ,,, Barcelona wanafungika vzr Sana , tusipokuwa na majeruhi wa key players naamini tunatoboa !

Ukuta wa Barcelona umejaa matobo, !!!! Striking force yao ndio kidogo nzuri !
 
Dah waafrika Mbona hawaaminiki kiasi hicho
emoji23.png
emoji23.png
..yaan Sisi wenyewe tunajiweka inferior kazi Kweli kweli
Hamna mkuu ndo ukweli wa mambo huo asee
Dah waafrika Mbona hawaaminiki kiasi hicho[emoji23][emoji23]..yaan Sisi wenyewe tunajiweka inferior kazi Kweli kweli
Hamna mkuu ndo ukweli wa mambo huo asee

Maana ushambuliaji man utd ni hopeless kabisa

Magoli yanatafutwa kwa tochi yaan kama south africa na brazil
 
Back
Top Bottom