Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli...akiwaondoa deadwoods wote labda timu itabadilika tusubiri msimu uishe


Huu bado sana
Mimi nawashangaa sana mashabiki wanaopiga kelele kwanini tumefungwa.

Hakuna mahali pameandikwa timu zinapaswa kushinda kila mechi au timu kubwa ni lazima zishinde kwa njia yoyote ile.

Kinachotokea ndiyo football ilivyo, kila kosa unalofanya ni faida kwa mpinzani wako.

Cha msingi kocha apewe watu anaowataka huwezi kuhukumu uwezo wake kupitia kitu kilichojengwa na mtu mwingine.

Alimtaka Gakpo na msimu huu ndiyo anawasha moto hatari, mchezaji naye yupo wazi kujiunga. Uvumilivu ni kitu muhimu sana ukiwa shabiki.
 
Yes itkua huzuni tukikosa but mimi nitakua sina shida hata tukikosa as long as timu itakua imeimprove kwa baadh ya maeneo yaliyotusumbua miaka mingi,hasa kiungo na defence.

#trust the process,ten hag is our messiah
Ni fans wachache Sana wanaoona progress ,wengi wapo kuona madhaifu na kutukana
 
Moja ya mashabiki wa man u mwenye akili Ni wewe, ujenzi wa timu ni process ,
 
Kila kocha atakuwa anakuja anakula kipigo kizito anasingizia wachezaji niliowakuta sio chaguo langu , ooh nipeni misimu miwili au mitatu nijenge timu , 🤗 mnampa fungu ananunua anaowataka , anapambana anaishia kuwa forerunner, msimu unaofata anakula vipigo vya mbwa Koko mpak mnamtimua huku akiwa ametia hasara kuu,

Kocha kazi yake sio kufundishwa wachezaji namna ya kucheza mpira , kaz ya kocha ni kuelekeza wachezaji namna ya kupata ushindi... Akipata ushindi anakaa, akishindwa fukuzaaa.... Chelsea wangekuwa na swaga kama za man u , nafkr wangekuwa na mafanikio duni sana
 
Glory hunters hao. Achana nao.
 
Mpaka siku united mtakapofahamu kwamba kusajili sio sawasawa na kuwa na timu bora ndio mtakapoamka usingizini. Kinyume na hapo mtalia siku zote na kufukuza makocha.
 
Utakuwa umeshiba mihogo inakulevya
Juz apa nmesema man u haija improve kokote shida zilizokuepo enz za mou ndo hzo hzo tunazo leo hii...

Kufungua defence line ya wapnzan changamoto kichz pira utatoka kushoto kwa rshford, utarud kwa bruno, then kulia kwa elanga/antony, unarud kwa dalot, then martnez martnez kipa.. hakuna pattern za kutafta magoli

Tunazdiwa ata na kina westham bn
 
Service gn nyie mnazitaka ikiwa anapewa mipira anashindwa ku convert kuwa goals... tunampenda ronado ila tukubali tukatae kashamaliza mpira sio ronado yule wa enz zake
 
Hii mechi ilkua muhim sn kushinda kuliko unavozan ili tuweze kupunguza gepu km kwl tunaitaka top four coz chelsea alkua kashafungwa na spurs alkua na kibarua na liver....

Kudondosha points kwmy mech kama hz ndo kultufanya last season tuikose top four na kuponea chupuchupu kwenda uefa conference
 
#Fernandez?..?
 
PSV director Brands reveals to ESPN meeting with Manchester United last summer to discuss Cody Gakpo. PSV wanted €50m package. “Man Utd never made an official bid”.

#FabrizioRomano
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Kweli kabisa.
 
Mtu anakwambia cr7 anazingua ila ukimuuliza ni forward gn kafanikiwa pale utd baada ya Ferguson hakuna.
 
Yn wachezaji wapo slow mnoo, Shaw anaongoza kupiga back passes, inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…