Sijui una hali gani mdaa huu.Leo tunampigaa yulee kengeee mapemaaa tuu..
dah mkuu umewakamata balaa hawa jamaaaMshalowa[emoji1787]
Naona unapambana na timu lako.Kwa icho kikosi nilijua tu hapo kati pameoza kabisa sioni tukiludisha pasipo kufanya sub za mapema.
HOVYO KABISA MJINGA HUYU...UNDUGU NA KOCHA UNAMFANYA AANZE.
VDB ni mzigo kabisa, wale waliokuwa wanaamini huyu dogo ni mzuri ila hapewi nafasi nadhani wanaweza kuona dogo hamna kitu.
Subs za mapema ni muhimu otherwise