Uchawi upo.Ivi pellistri anakosa kipi ambacho elanga anacho??
Nadhani Kuna kitu anamiss ambacho sisi huku hatuwezi kukiona zaidi ya mwalimu anaeshinda nae kila sikuIvi pellistri anakosa kipi ambacho elanga anacho??
Ýupo na matraineee
Bruno hachezi leo nadhani.Top for Ni must,,,,,,
Trust the process!
Villarians leo wapo na emery , watakua na morali Sana kuelekea game yao na utd,,,,, !
Sio game rahisi Sana, point tatu Ni muhimu,,,, pale mbele pamepwaya kiasi flani ,,, Anthony Santos na Anthony martial hawapo,,,, cr7 butu, tunahitaji kiwango kizuri cha garnacho na rashyy, Bruno game imkae vizuri !
#GGMU
Aisee.. vdb nae hana form kbsa kocha nae hapendelei kumchezesha ericksen km no.10Bruno hachezi leo nadhani.
Timu hii kwl mipango haina, mtu ana miaka 33 ananunuliwa kama mrithiTetesi:
Manchester united wanataka kumsajili mshambuliaji hatari wa Bayen munich Eric choup moting mwenye umri wa miaka 33 kama mbadala wa Ronaldo
Mshambuliaji huyo ambaye ameshawahi kukipiga Psg amekuwa na kiwango kizuri msimu kwa kufunga magoli karibu kila mechi aliyocheza