Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naunga mkono hoja japo upuuzi huwa sipendi.
 
Auba na Ozil ni wadogo kwa Ronaldo hawana nguvu kubwa katika soka, hawawezi kumyumbisha kocha kivile japo siungi mkono upuuzi aliofanya Ronaldo.
 
Auba na Ozil ni wadogo kwa Ronaldo hawana nguvu kubwa katika soka, hawawezi kumyumbisha kocha kivile japo siungi mkono upuuzi aliofanya Ronaldo.
Mkuu chagua moja huwezi kusupport pande zote ni aidha Ronaldo kakosea au Ten hag kakosea kumuadhibu ronaldo.

Mambo ya kusema unaunga mkono japo hau support upuuz huo ni undumila kuwili.
 
Kama mnavojionea mzoga wa Liverpool unavopita mbele yenu, nanyi pia zamu yenu inakuja.

Chelsea tunakwenda kuwabandua
 
Kuna watu wanashangaza sana mkuu. Pengine kuna watu hawataki kusikia wala kuamini kuwa Ronaldo wa leo sio yule wa juzi wala wa jana. Wanataka apangwe tu kwenye timu kwakuwa ni 'Ronaldo'.

Wanaishi kwa historia ya miaka ya nyuma.

In fact jamaa kwa sasa sioni kama anaweza kuwa na msaada kwenye timu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…