Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.Hahahaa Jombaa are you serious? Rashford huyu huyu mchezaji asiye na consistency? Fred huyu sihitaji hata kumzungumzia.
Huwezi kushinda makombe kama huna wachezaji wenye performance consistency. Vitu ambavyo Rashford na Fred hawawezi kukupa msimu mzima.
Nimekuvulia kofiaView attachment 2392132
Conte ni mjanja mjanja sana.
Ukiichukulia kauli hii technically utaona Conte anawapa presha Ten Hag na benchi lake kumuanzisha Ronaldo siku ya leo, mtu ambae ni rahisi kumkaba, sio mzuri kwenye possession na kibaya zaidi ha press effectively.
Ten Hag akiingia huu mkenge leo ameyakanyaga. NDOIGE lazima iwahusu!
Baada ya kile kichapo dhidi ya man city ten hag alisemaDeGea anaweza asipewe mkataba mpya.
huyu anafuta headline tu, ila sio tatizo tena kwa timu yetu.Safi huyu ni kusugulisha benchi mpaka aondoke shenzi.View attachment 2393068
huyu anafuta headline tu, ila sio tatizo tena kwa timu yetu.
Ole asingeweza kumuweka bench Ronaldo, yaani Ronnie ndo angekuwa anapanga kikosi kabisaKocha mwenye ujasiri wa kumuweka Ronaldo benchi anaweza kufika mbali.
Huo ni ujumbe kwa wote, kama Ronaldo anawekwa benchi na wewe usishangae kukaa benchi.
Yupo wapi Maguire?
Ole hakuna na huo ujasiri.
Vipi Mkuu usajili wa Ronaldo bado ni asset kwetu au ni liability ?Mkuu tuwe tunasoma alama za nyakati, pale Utd hata angekuja nani bado tungesema kuna eneo linapwaya, co kwamba hatuna wachezaji bali tumepoteza ari na bahati, acha aje CR7 arudishe kujituma kwenye timu cz wachezaji wazembe na wavivu wataanza kujituma hata mazoezini mana hawatojisikia vzr mzee kuwazidi ktk kufanya mazoezi.
Jana ndiyo niliona Manchester United wanacheza probably tangu 2021 mechi yetu na Leeds United ndiyo jana tena nimeona Manchester United ikicheza.Ila jana tumecheza mpira nadhani msimu huu ndo mechi ya kwanza kucheza dakika 90 mpera mpera tumekaba sana tackling za maana yani kazi kazi. Casemiro anajitahidi kutulia fred kuna dakika unampenda then fasta anakukera.
Ronaldo dah jana kanishangaza ila tunahitaji mfungaji jana wale 6 zilikua zinawahusu.
Muda bado haujatupa majibu ??Sijafurahishwa na usajili wa Christiano Ronaldo.
Why?
Ronaldo ana miaka 36 as of today amepewa Contract mpaka 2023.
Kununuliwa kwa Ronaldo kutatuathiri hapa.
1. Hatutaweza tena kununua DM kwajili ya kuifanya timu yetu icheze kwa uhuru zaidi.
2. Usajili wa Ronaldo unaenda kupunguza gametime kwa Mason Greenwood, Rashford even Sancho kwa sababu either Ronaldo atatakiwa kucheza kama striker au Left wing.
3. Usajili wa Ronaldo unaenda kufifisha zaidi ndoto ya kumsajili Haalland au Striker mwingine yoyote katika kikosi chetu kilichopo kwenye rebuild.
4. Usajili wa Ronaldo unaenda kuongeza idadi ya wazee pale United kutoka watano mpaka kufikia 6. Mata, Matic, Heaton, Grant, Cavani, na Ronaldo.
5. Uwepo wa Ronaldo mwenye miaka 36 uwanjani unaenda kutufanya tucheze na mchezaji mmoja pungufu kwa sababu Ronaldo wa sasa hakabi, anakabika kirahisi sana na tukumbuke timu yetu inacheza kwa tabu sana kwenye final third.
6. Tunalazimika kutafuta mfumo mpya wa uchezaji kuaccomodate CR7 katka kikosi chetu.hii itahitaji muda pia.
Swali la kizushi je tumemsajili CR7 kwa sababu tunamhitaji au tumemsajili ili asiende Man City???
Welcome the GOAT.
Vipi muda bado haujatupatia majibu juu ya usajili wa Ronaldo ??
Daemusin Fuentte Darmian The best Bavaria