Chief unamwachiaje Rashid na Fred?Na asije akafanya masikhara pia kumuongezea hata mmoja hawa wanaomaliza mikataba. Hata waonyeshe ubora kiasi gani msimu huu hii mifuko iende tu. (Rashford, Degea, Fred, Dalot, Jones, Tuanzebe, Ronaldo, Shaw, Heaton)
Hao wote hapo wanaweza kuwa kaburi lake siku za usoni akijikoroga kumpa hata mmoja mkataba mpya. Ukimuondoa Ronaldo ssb ya umri waliobakia wote hawana ubora wa kucheza United. (inconsistency performance)
Sure,it shows jamaa ana balls sio kitoto..Kocha mwenye ujasiri wa kumuweka Ronaldo benchi anaweza kufika mbali.
Huo ni ujumbe kwa wote, kama Ronaldo anawekwa benchi na wewe usishangae kukaa benchi.
Yupo wapi Maguire?
Ole hakuna na huo ujasiri.
Conte kwenye post match interview alikuwa mnyonge kinoma..tuliwapelekea moto balaa..Pira biriani jana nifaidi sana.
Hahahaa Jombaa are you serious? Rashford huyu huyu mchezaji asiye na consistency? Fred huyu sihitaji hata kumzungumzia.
Umelewa ww,Wakuu........ kama vipi tumuuze Eriksen ata pauni mil 3 tuongezee hela tumchukue origi. Mbele pale tunapwaya sana. Kati pale tukiwapa brighton pauni mil 70 wanatuachia lallana kweupe.
hatuwezi kutishwa na kinyago tulicho kichonga wenyewe tumekukuza wenyewe tuna kusugulisha wenyewe.Safi huyu ni kusugulisha benchi mpaka aondoke shenzi.View attachment 2393068
Safi huyu ni kusugulisha benchi mpaka aondoke shenzi.View attachment 2393068
Performance ya spurs inayocheza nyuma muda wote na kuwaachia mpira mcheze ili ikitokea turnover wanawashambulia Kwa counter ndo inawazuzua namna hii[emoji23]Conte kwenye post match interview alikuwa mnyonge kinoma..tuliwapelekea moto balaa..
Chelsea hii pia sio ya kutusumbua..inabidi tuwafunge and that will be a big boost to our season.
Huyu mwezi wa kwanza mkataba wake uvunjwe. Bodi wakubali hasara.hatuwezi kutishwa na kinyago tulicho kichonga wenyewe tumekukuza wenyewe tuna kusugulisha wenyewe.
Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.Hahahaa Jombaa are you serious? Rashford huyu huyu mchezaji asiye na consistency? Fred huyu sihitaji hata kumzungumzia.
Huwezi kushinda makombe kama huna wachezaji wenye performance consistency. Vitu ambavyo Rashford na Fred hawawezi kukupa msimu mzima.
Nimekuvulia kofiaView attachment 2392132
Conte ni mjanja mjanja sana.
Ukiichukulia kauli hii technically utaona Conte anawapa presha Ten Hag na benchi lake kumuanzisha Ronaldo siku ya leo, mtu ambae ni rahisi kumkaba, sio mzuri kwenye possession na kibaya zaidi ha press effectively.
Ten Hag akiingia huu mkenge leo ameyakanyaga. NDOIGE lazima iwahusu!
Baada ya kile kichapo dhidi ya man city ten hag alisemaDeGea anaweza asipewe mkataba mpya.