Mm niliongea humu nikashambuliwa , eti kisa ana magoli 3hivi Antony anashida gani? mbona mdanwote Tu anarudisha mpira nyuma....hajaribu take ons kabisa bora 7 ya Sancho pre season
Afu kana anguka anguka tu sijui kana shida gani?..?hivi Antony anashida gani? mbona mdanwote Tu anarudisha mpira nyuma....hajaribu take ons kabisa bora 7 ya Sancho pre season
Afu kana anguka anguka tu sijui kana shida gani?..?hivi Antony anashida gani? mbona mdanwote Tu anarudisha mpira nyuma....hajaribu take ons kabisa bora 7 ya Sancho pre season
Mkuu NtYga mpaka umeongea swahili kweli tony anazinguaAfu kana anguka anguka tu sijui kana shida gani?..?
Kocha kazingua sn kumuanzisha ronaldo na fredNdio maana mie nimeamua nitulie na kuacha kwanza kucheki gemu zetu coz kuna mambo wachezaji wanayofanya uwanjani yanakera saana.
Angeanza nani sasa mkuu sub ilikuwa aina wachezaji wakueleweka.Kocha kazingua sn kumuanzisha ronaldo na fred
Every touch ya Fred ilkua ni kituko,ndo maana kuna jamaa alisema as a joke: scout team ya utd ilifanya kazi ya ziada sana kumpata Fred maana brazil hakuna mchezaji mbovu wa namna ile kama wapo ni wachache sana!!Angeanza nani sasa mkuu sub ilikuwa aina wachezaji wakueleweka.
Yani angekuwepo Maximin na Isak tungepigwa na kwa hali ile tusingerudisha. Safu yetu ya ushambuliaji mpaka wapate nafasi 20 ndiyo wafunge goli 1, wakipata nafasi chache zote watakosa.Kikubwa tushukuru kwa kutokuwepo kwa Allan Saint-Maximin pamoja na Isak maana ingekua ni fedheha kubwa mno.
Man United sisi ni kama ManDonga tu jina kubwa, mashabiki kibao ila uwanjani hamna la maana.
GGMU Tukipiga tumepiga, tukipigwa kama tumepiga.
Taratibu mnaanza kuongea uhalisiaKikubwa tushukuru kwa kutokuwepo kwa Allan Saint-Maximin pamoja na Isak maana ingekua ni fedheha kubwa mno.
Man United sisi ni kama ManDonga tu jina kubwa, mashabiki kibao ila uwanjani hamna la maana.
GGMU Tukipiga tumepiga, tukipigwa kama tumepiga.
Waambie kuna msimu Pepe alifikisha mpk goli 11Mm niliongea humu nikashambuliwa , eti kisa ana magoli 3
Scholes alisema kila mpira anarudisha nyuma
Niliwaambia humu hata magoli nicolas Pepe pale Arsenal alifunga sana kuliko saka , but mwenye impact kubwa Ni saka
Leo epl sidhan kama kuna timu inacheza na man u mabeki pinzani wamuhofie Anthony.
kwahyo wasitishike na goli 3... huyo n Daniel James Tu WA pauni mil. 100Kwa fomu zao za saiv ni bora aanze rashfod kulko ronado..Angeanza nani sasa mkuu sub ilikuwa aina wachezaji wakueleweka.
Mmekuwa wachawi, hata arsenal mlimloga partey ndio mkachomokaKikubwa tushukuru kwa kutokuwepo kwa Allan Saint-Maximin pamoja na Isak maana ingekua ni fedheha kubwa mno.
United mnachekesha sana, juzi hapa mlikuwa mnasema timu imekamilika baada ya kumleta Antony, casemiro, Martinez na eriksen. Hapo kuna malacia pia.Yani angekuwepo Maximin na Isak tungepigwa na kwa hali ile tusingerudisha. Safu yetu ya ushambuliaji mpaka wapate nafasi 20 ndiyo wafunge goli 1, wakipata nafasi chache zote watakosa.
Mashabiki wengi bado tunaishi kwa kuamini tuna timu nzuri, United bado ni timu kubwa lakini kwa kikosi tulichonacho hatuna tofauti na mid-table clubs tofauti yetu na wao, sisi tuna historia kubwa tu basi.
Tuna timu ya kawaida sana yani hizi timu ndogo zinapokosea zikicheza na sisi ni kupaki basi lakini zina uwezo wa ku-battle na wachezaji wa United na kuwamudu.
Hii timu ina-survive kwasababu ya jina lake tu lakini sioni cha ajabu wachezaji wanachofanya kuwazidi wachezaji wa Newcastle, Brighton, Brentford au West Ham.
Tatizo litimu lao linasajili kwa kuangalia majina.United mnachekesha sana, juzi hapa mlikuwa mnasema timu imekamilika baada ya kumleta Antony, casemiro, Martinez na eriksen. Hapo kuna malacia pia.
Tatizo la united kwa maoni yangu ni kwamba mnaamini kusajili ndio kuwa na timu. Tangu Ferguson aondoke mmekuwa na kazi moja tu ya kusajili kuridhisha mashabiki na kufanya biashara bila mipango mahsusi ya kutengeneza timu.