Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..Mbona tupo serious hivi mpaka na vibonde hawa.View attachment 2386204
Kibondee kivipii wakati United alishinda ki bahati bahati tuu mechi iliyo pitaMbona tupo serious hivi mpaka na vibonde hawa.View attachment 2386204
Nafasi nzuri ya kusonga mbele wapi?Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..






Kuna mawili either hujaangalia mpira ama HUJUI mpira...Kwa mpira huu halafu jumapili muwafunge Newcastle!?.. niko palee!![]()