Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marcus Rashford’s game by numbers vs. Everton:

83% pass accuracy
3 long balls completed
2 ground duels won
2 dribbles completed
1/1 aerial duels won
1 key pass
1 big chance created

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221009_234354_031.jpg
 
  1. Too many mistakes tunapokuwa uwanjani
  2. man utd ni mfano wa gari bovu la mkaa linalotumia diesel, dakika 10 linakuwa on form na dakika 30 linakuwa joka la kibisa, bado sijaelewa changamoto hii inasababishwa na factor ipi.
  3. Brighton na man city walitufunga kwa sababu ya ubora wao as a team, hata kama tutarejea nao tena bado wataendelea kutupa mechi ngumu.
  4. brentford walitufunga kwa sababu wachezaji hawakutaka kujishughulisha na si kwamba walikuwa well organized ndio maana hawafanyi vizuri.
  5. Tutakapocheza na timu isiyofanya makosa mara kwa mara ndani ya uwanja tutaadhibiwa kama walivyotufanyia brighton na man city....goli sahihi walizopaswa kutufunga manchester city zilikuwa ni 3 na nyengine ni kwa sababu ya uzembe uliopitiliza wa wachezaji wetu
  6. Lisandro martinez ndiye mwanadamu pekee aliyepo man utd mwenye uhakika wa kukupa performance inayofikia 90% kila wiki ndani ya uwanja bila ya kujali matokeo.
  7. Tunapoifikia hatua ya tatu ya uwanja wachezaji wetu wanakuwa kama walevi, kuna umuhimu wa kusajili wachezaji wenye ufundi mfano wa bernardo silva, foden, salah......ni wachezaji ambao huwezi kuwatabiri watakachokifanya.
  8. Muna uhakika huyu casemiro ni mbrazil na ndiye huyu huyu mbeba ndoo za maji pale real madrid (mtumwa wa modric na kroos), real?
  9. Man utd niliyoiona preseason na hii ya ligi kuu ni timu mbili tofauti, nyakati zile tuliamini katika possession na matokeo ila kwa sasa tumejikita zaidi katika kutafuta matokeo.
  10. Lipi ni bora, kocha kuendelea kusimamia falsafa yake ya kiuchezaji bila ya kujali wachezaji alionao na matokeo atakayo yapata au kocha kujikita zaidi na utafutaji wa matokeo hata kwa njia ya uhaini wa falsafa yake?... Hapa zaidi naizungumzia situation ya manchester united.
  11. Natoa mfano tuliwahi kuwa na van gaal aliyesimamia filosifi yake mpaka dakika ya mwisho licha ya shutuma na vijembe alivyoangushiwa, msimu aliokosa top 4 watu walijisahaulisha falsafa yake na hatimaye akatimuliwa huku akiwa na hangover ya kubeba kikombe.
  12. ok mimi ni muumini wa posession kama nilivyojitambulisha kule ajax.....sina wachezaji sahihi wa kunitimizia haja yangu ya kiuchezaji. Acha nijenge timu yangu kwa kuleta wachezaji sahihi watakaonifikisha ndoto yangu bila ya kuathiri kibarua changu. Hawa mabwana hawafanani na arsenal wala liverpool hivyo sidhani kama watanivumilia ikiwa nitajificha kwenye hoja ya kujenga msingi mpya wa kiuchezaji ndani ya timu huku matokeo yakiwa ni mabovu. ikiwa ten hag ana mawazo mfano wa hayo je itakuwa ni sahihi kumuangushia mzigo wa lawama.
Kwako bwana Aaron Arsenal naomba unijibu hapo namba 10.
 
Ni bora Erik Ten Hag atafute matokeo huku akijenga timu kwa falsafa yake taratibu.

Kwa Man United kupoteza mechi moja tu ni pressure kubwa sana kuliko kupata matokeo huku ukicheza vibaya.

Naamini Ten Haga alibadilika sana baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo tena na midtable teams.

Kuna wakati timu yetu inacheza vibaya kwa sababu kwenye midfield tunakikosi kipya kabisa ukiondoa Bruno tu wengine ndiyo mara yao ya kwanza kucheza pamoja hii itachukua muda kutengeneza uelewano mzuri.

Kingine machenster haina striker mzuri anayeweza kucheza vizuri kwenye link up play hivyo kwenye final third team yetu huwa inaupoteza mpira kirahisi kwa sababu hiyo.

Bado naamini tukifanya usajili tena kwenye maeneo muhimu timu itaimarika na kuanza kucheza vizuri.
 
  1. Too many mistakes tunapokuwa uwanjani
  2. man utd ni mfano wa gari bovu la mkaa linalotumia diesel, dakika 10 linakuwa on form na dakika 30 linakuwa joka la kibisa, bado sijaelewa changamoto hii inasababishwa na factor ipi.
  3. Brighton na man city walitufunga kwa sababu ya ubora wao as a team, hata kama tutarejea nao tena bado wataendelea kutupa mechi ngumu.
  4. brentford walitufunga kwa sababu wachezaji hawakutaka kujishughulisha na si kwamba walikuwa well organized ndio maana hawafanyi vizuri.
  5. Tutakapocheza na timu isiyofanya makosa mara kwa mara ndani ya uwanja tutaadhibiwa kama walivyotufanyia brighton na man city....goli sahihi walizopaswa kutufunga manchester city zilikuwa ni 3 na nyengine ni kwa sababu ya uzembe uliopitiliza wa wachezaji wetu
  6. Lisandro martinez ndiye mwanadamu pekee aliyepo man utd mwenye uhakika wa kukupa performance inayofikia 90% kila wiki ndani ya uwanja bila ya kujali matokeo.
  7. Tunapoifikia hatua ya tatu ya uwanja wachezaji wetu wanakuwa kama walevi, kuna umuhimu wa kusajili wachezaji wenye ufundi mfano wa bernardo silva, foden, salah......ni wachezaji ambao huwezi kuwatabiri watakachokifanya.
  8. Muna uhakika huyu casemiro ni mbrazil na ndiye huyu huyu mbeba ndoo za maji pale real madrid (mtumwa wa modric na kroos), real?
  9. Man utd niliyoiona preseason na hii ya ligi kuu ni timu mbili tofauti, nyakati zile tuliamini katika possession na matokeo ila kwa sasa tumejikita zaidi katika kutafuta matokeo.
  10. Lipi ni bora, kocha kuendelea kusimamia falsafa yake ya kiuchezaji bila ya kujali wachezaji alionao na matokeo atakayo yapata au kocha kujikita zaidi na utafutaji wa matokeo hata kwa njia ya uhaini wa falsafa yake?... Hapa zaidi naizungumzia situation ya manchester united.
  11. Natoa mfano tuliwahi kuwa na van gaal aliyesimamia filosifi yake mpaka dakika ya mwisho licha ya shutuma na vijembe alivyoangushiwa, msimu aliokosa top 4 watu walijisahaulisha falsafa yake na hatimaye akatimuliwa huku akiwa na hangover ya kubeba kikombe.
  12. ok mimi ni muumini wa posession kama nilivyojitambulisha kule ajax.....sina wachezaji sahihi wa kunitimizia haja yangu ya kiuchezaji. Acha nijenge timu yangu kwa kuleta wachezaji sahihi watakaonifikisha ndoto yangu bila ya kuathiri kibarua changu. Hawa mabwana hawafanani na arsenal wala liverpool hivyo sidhani kama watanivumilia ikiwa nitajificha kwenye hoja ya kujenga msingi mpya wa kiuchezaji ndani ya timu huku matokeo yakiwa ni mabovu. ikiwa ten hag ana mawazo mfano wa hayo je itakuwa ni sahihi kumuangushia mzigo wa lawama.
Kwako bwana Aaron Arsenal naomba unijibu hapo namba 10.
Atafute matokeo huku ana install style yake taratibu

Bado anahitaji wachezaji hasa DM mwenye kariba FDJ
 
Back
Top Bottom