Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,631
- 11,106
Taarifa imetoka kaumia. Yeye na Isak hawatacheza.Jamaa anayenitisha Newcastle ni Allan Saint-Maximin, jamaa ni hatari sana.
Taarifa imetoka kaumia. Yeye na Isak hawatacheza.Jamaa anayenitisha Newcastle ni Allan Saint-Maximin, jamaa ni hatari sana.
Afadhali.Taarifa imetoka kaumia. Yeye na Isak hawatacheza.
Kama Isak na Maximin hawatacheza basi itawapunguzia Newcastle nguvu..Taarifa imetoka kaumia. Yeye na Isak hawatacheza.
daaa dogo alisahau lile andiko tuliloambiw na Muumba kuwa tuishi kwa akili na hawa viumbe wanaomiliki papuchi..Mason Greenwood.View attachment 2388157
Nyumbu hamna uwezo wakupiga mpira mwingi , tuacheni kudanganya ,kila Mechi mnasubiri miujiza tututawapigia newcastle mpira mwingi sana kama tu martial atakuwa fiti.. combination yake na dogo Rashidi huwa inakuwa safi sana...
United pasi mbili goli. Hahaha, najua ile picha ya 3 - 1 bado inawatesa sana, mnajiuliza tuliwafungaje na mnakosa majibu. Sisi hatuna masuala ya kuremba muandiko na ndiyo kinachowakera.Sancho hawezi Tena kufanikiwa atafute timu ashakuwa flop
Huyu Anthony Mbona Kama mmepigwa ,sijawahi kuona anampita hate beki,sijaona mabeki wakimuogopa kifup Ni chezaji la kawaida tu
Ni swala la muda aingie kwenye listi ya wachezaji flop
Msibabaishwe na magoli hata Sancho alipofunga dhidi ya Liverpool mkasema ndiye Sancho mnayemtaka,Cha ajabu anazidi kuwa flop
Manyumbu mna laana degea hakukosea
Mbona pale Emirates ulipigwa 3-1United pasi mbili goli. Hahaha, najua ile picha ya 3 - 1 bado inawatesa sana, mnajiuliza tuliwafungaje na mnakosa majibu. Sisi hatuna masuala ya kuremba muandiko na ndiyo kinachowakera.
Tupo kwenye rebuild na kocha anafanya mambo yake taratibu kabisa huku tukijichukulia points 3 kimasihara.
Anthony kwenye mechi zake 3 kaweka 3 wakati wewe unajiuliza ni beki gani kawahi kumpita sasa hivi Nick Pope anajiuliza kesho atailindaje angle yake ya kulia dhidi ya mtaalamu wa Ki-Brazil bwana mdogo Anthony.

Yote hii ni kwasababu ya mechi za katikati ya wiki za UEFA. Ila mechi kama ya Villa v Chelsea ilikuwa na uwezekano wa kuchezwa jana lakini kutokana na sheria za UK wangeiweka jana hiyo mechi mashabiki wa Uingereza nje ya Birmingham wasingeweza kuitazama Live kupitia TV.ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
- Manchester united vs newcastle united = saa 10
- leeds united vs Arsenal = Saa 10
- aston villa vs chelsea = saa 10
- barcelona vs real madrid = saa 11
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku
fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
Muda wa mechi ukifika pitia:ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
- Manchester united vs newcastle united = saa 10
- leeds united vs Arsenal = Saa 10
- aston villa vs chelsea = saa 10
- barcelona vs real madrid = saa 11
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku
fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
nafahamu kuwepo kwa hiyo sheria ila nakumbuka msimu uliopita tulipocheza dhidi ya newcastle united mechi haikuonyeshwa live nchini Uingereza.Mechi za 3pm (5pm EAT) Jumamosi pale UK haziruhusiwi kuonyeshwa kwenye TV wala kuwa streamed kwenye Pub. Ni sheria ya miaka ya 1960s iliwekwa ili kusaidia vilabu vya ligi za chini ya EPL kupata mapato kwasababu mechi za Championship, League 1, League 2 na National League huchezwa Jumamosi sasa wakiziweka muda mmoja na timu kubwa watu wengi wanaacha kwenda viwanjani wanaangalia mechi kubwa kwenye TV, kitu kinachopunguza mapato ya viingilio uwanjani.