Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mchizi boti niaje ..muna timu mbovu sana yani munacheza na wachovu kama everton alafu munashinda tubao tuwili tu??! Nyie bado ni matakataka sana
Wakati tunacheza na Everton ndiyo ilikuwa timu iliyoruhusu magoli machache katika ligi. Walikuwa waneruhusu magoli 7 tu, tatizo umekariri jinsi Everton walivyomaliza msimu wa 2021/22 sasa hivi defensively wanafanya vizuri.
 
20221011_175530.jpg
 
Nasikia Dogo anataka kuchomoa Pale PSG haraka iwezekanavyo vP tukimchukua huyu?..?Kylian Mbappé, not happy with Paris Saint-Germain as current situation is really tense. He wants to leave the club, as soon as possible. #Mbappé

#FabrizioRomano
Jamaa wajanja sana walimlaghai ili asaini tu mkataba mpya na wamefanikiwa sasa ivi ili umpate mwaga mihela
 
Ten Hag: "I want to support him [Ronaldo] as good as possible. We have certain demands from players, what we expect in certain positions. I want to get the best out of him, he's in better shape now and I'm happy with that."

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Ninausongo sana wa kuiona combo ya kibrazir pale kati. Hope cesa na Fred watatuonyesha chochote cha kutushawishi leo. But Ten hag aanze kujiamini sasa, mechi kama hii tia hivi vitito vikinazidane, garnacho nk viendelee kujiamini. yeye anaweka full mkoko...
20221013_205423.jpg
 
Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..
Nafasi nzuri ya kusonga mbele wapi?

Wakati Sheriff akishinda,Man u akapigwa pressure itakuwa kubwa kwa United
 
Back
Top Bottom