Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  1. Manchester united vs newcastle united = saa 10
  2. leeds united vs Arsenal = Saa 10
  3. aston villa vs chelsea = saa 10
  4. barcelona vs real madrid = saa 11
ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku

fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
 
Yote hii ni kwasababu ya mechi za katikati ya wiki za UEFA. Ila mechi kama ya Villa v Chelsea ilikuwa na uwezekano wa kuchezwa jana lakini kutokana na sheria za UK wangeiweka jana hiyo mechi mashabiki wa Uingereza nje ya Birmingham wasingeweza kuitazama Live kupitia TV.

Mechi za 3pm (5pm EAT) Jumamosi pale UK haziruhusiwi kuonyeshwa kwenye TV wala kuwa streamed kwenye Pub. Ni sheria ya miaka ya 1960s iliwekwa ili kusaidia vilabu vya ligi za chini ya EPL kupata mapato kwasababu mechi za Championship, League 1, League 2 na National League huchezwa Jumamosi sasa wakiziweka muda mmoja na timu kubwa watu wengi wanaacha kwenda viwanjani wanaangalia mechi kubwa kwenye TV, kitu kinachopunguza mapato ya viingilio uwanjani.
 
  1. Manchester united vs newcastle united = saa 10
  2. leeds united vs Arsenal = Saa 10
  3. aston villa vs chelsea = saa 10
  4. barcelona vs real madrid = saa 11
ulikuwepo uwezekano wa mechi ya chelsea kuchezwa saa 8 mchana
mechi ya arsenal au manchester united kuchezwa saa 10:30
mechi ya liverpool ikachezwa saa 1 usiku
mechi nyengine ikachezwa saa 3 usiku

fanyeni kushare link ya kuangalia mpira live
Muda wa mechi ukifika pitia:

www.totalsportek.com

www.hesgoal.tv
 
Mechi za 3pm (5pm EAT) Jumamosi pale UK haziruhusiwi kuonyeshwa kwenye TV wala kuwa streamed kwenye Pub. Ni sheria ya miaka ya 1960s iliwekwa ili kusaidia vilabu vya ligi za chini ya EPL kupata mapato kwasababu mechi za Championship, League 1, League 2 na National League huchezwa Jumamosi sasa wakiziweka muda mmoja na timu kubwa watu wengi wanaacha kwenda viwanjani wanaangalia mechi kubwa kwenye TV, kitu kinachopunguza mapato ya viingilio uwanjani.
nafahamu kuwepo kwa hiyo sheria ila nakumbuka msimu uliopita tulipocheza dhidi ya newcastle united mechi haikuonyeshwa live nchini Uingereza.
siku aliyotambulishwa cristiano ronaldo ndani ya old trafford
 
1665905981524.png
 
Frenkie de Jong tells ZiggoSport: "Chelsea and Man Utd bids? I was calm. I decided in May I wanted to stay. My opinion never changed" #FCB

"I remained calm, then you know the pressure will start coming from all sides. I wanted to stay at Barça so it never made me confused".

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221016_125910_784.jpg
 
Attachments

  • IMG_20221016_125953_218.jpg
    IMG_20221016_125953_218.jpg
    54.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom