Mwambieni 10 Hag sisi kama mashabiki wa United hilo pira biriani sisi hatulitaki awaachie kina Arsenyani.Ball possession everton 5% man utd 95%
Maamuz mabov kabisaaa..duh! Wameondoa
Nadhani hii ni rekodi toka nimeijua hii timu kuposses hiviMwambie 10 Hag sisi kama mashabiki wa United hilo pira biriani sisi hatulitaki awaachie kina Arsenyani.
Man United tunataka mpira magoli, utamaduni wetu ni pasi mbili, tatu inapigwa ndefu wanaume wanaweka wavuni.
Mnaomdiss Anthony endeleeni na kazi yenu na yeye kila akiwa uwanjani kazi yake ni kuwaprove wrong. View attachment 2381990


Casemiro’s game by numbers vs. Everton:
)
