leo gemu yenu hii kazeni tu..Great defending by the team....that resulted to a counter attack...84th min
.....hahahha
Mnaanza jeuri yenu sasa ee?
Nitamwambia babu ageuze msala hapa...
Kwani uongo? Si tuliwakalisha kimoja tu...na bado tunakuja kwenu...
Kwani uongo? Si tuliwakalisha kimoja tu...na bado tunakuja kwenu...