Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Huyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.Tumekaa pale tunasubiri mapambio ,ya Ten hag OUT ,
Na wasiwasi huenda hata krismass mkamtimua
Bahati nzuri akawahi kushtukia mchongo akaachana na watoto akaja kujiunga na wanaume.
Mpaka kesho akiwa anahojiwa hua anapenda zaidi kuizungumzia Manchester United aliyoichezea kwa misimu miwili tu kuliko Arsenyani aliyoitumikia kwa 8 season's.
Pia hua anajutia na akijilaumu sana kwa kupoteza nguvu zake miaka nane kwa Arsenyani ambako aliambulia kubebeshwa masufuria ya ngao ya hisani.


