Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
History FCTujikumbushe kidogo throwback View attachment 2368868
History FCTujikumbushe kidogo throwback View attachment 2368868
Halima Gwaya kafanya yake kwa mara nyingine tena.Halima Gwaya kashafanya yake.
Iyo mechi mchezaji ambaye hata tupa matokeo ni ericksen maana saizi ndo uhai wa kiungo chetu.Imagine the feeling when we beat City on sunday..
GGMU
EtH aandae mbinu mbadala za kuwazuia City.
Hopefully Martial yupo fit..
Ndugu zetu j2 mtatusamehe kwakweli..kwakua tunatafta kombe na nyinyi mnatafta top 6 kwa hiyo Hamna namna.. Sifurahi hivyo Ila ndo hakuna namna itabidi tuwabomoe tu japo tutawafunga huku tunalia kwsababu nyie ni ndugu zetu wa damu...WE ARE MANCHESTER
Ndugu zetu j2 mtatusamehe kwakweli..kwakua tunatafta kombe na nyinyi mnatafta top 6 kwa hiyo Hamna namna.. Sifurahi hivyo Ila ndo hakuna namna itabidi tuwabomoe tu japo tutawafunga huku tunalia kwsababu nyie ni ndugu zetu wa damu...WE ARE MANCHESTER

Kbs j2 watusamehe. Tunajua tunatoka nao jiji moja na hatutafurahia kuwafunga lkn hakuna namna#WeAreTheCityzens&Manchester is Blue
Leo nimecheki clip youtube Eng Vs Germany Magwaya kachomesha vibaya nahisi hata yeye upepo uneshamkokea sasa hivi presha kubwa hajiamini tena.Halima Gwaya kafanya yake kwa mara nyingine tena.
Sio hamjazoe ,uwezo wakucheza sex football hamna , kocha katumia £250m sijui bado timu inacheza kwa kuvizia , uzuri mpira haudanganyi ,huwez ukashinda kila siku kwa ujanja ujanja wa kukaa nyuma kuvizia kauntaIyo mechi mchezaji ambaye hata tupa matokeo ni ericksen maana saizi ndo uhai wa kiungo chetu.
Nadhani tutacheza mashambulizi ya kushitukiza tu maana kikosi bado akijazoea mfumo lazima tuta defense sana.
Mkuu umepiga kwenye mshonoSio hamjazoe ,uwezo wakucheza sex football hamna , kocha katumia £250m sijui bado timu inacheza kwa kuvizia , uzuri mpira haudanganyi ,huwez ukashinda kila siku kwa ujanja ujanja wa kukaa nyuma kuvizia kaunta
Hata Ole alianza hivo had akapewa mkataba mwisho mlimtimua kwa aibu
Moira una njia zake mpira wa ujanja ujanja unaweza kushinda mech 2 had 3 ,then unarud Default setting
Kazi mbili za EtH ni hizi:Sio hamjazoe ,uwezo wakucheza sex football hamna , kocha katumia £250m sijui bado timu inacheza kwa kuvizia , uzuri mpira haudanganyi ,huwez ukashinda kila siku kwa ujanja ujanja wa kukaa nyuma kuvizia kaunta
Hata Ole alianza hivo had akapewa mkataba mwisho mlimtimua kwa aibu
Moira una njia zake mpira wa ujanja ujanja unaweza kushinda mech 2 had 3 ,then unarud Default setting
Sex football arsenal mmekuwa mnacheza miaka na miaka mmefanya nini cha maana labda cheki timu kama atletico madrid na mpira wao lakini wanapata mafanikio.Sio hamjazoe ,uwezo wakucheza sex football hamna , kocha katumia £250m sijui bado timu inacheza kwa kuvizia , uzuri mpira haudanganyi ,huwez ukashinda kila siku kwa ujanja ujanja wa kukaa nyuma kuvizia kaunta
Hata Ole alianza hivo had akapewa mkataba mwisho mlimtimua kwa aibu
Moira una njia zake mpira wa ujanja ujanja unaweza kushinda mech 2 had 3 ,then unarud Default setting
Wapuuzi hawa, Sexy Football inatakiwa iendane na matokeo pamoja na makombe.Sex football arsenal mmekuwa mnacheza miaka na miaka mmefanya nini cha maana labda cheki timu kama atletico madrid na mpira wao lakini wanapata mafanikio.
Kuna kipindi mpaka arsenal mlikuwa mna fananishwa na Barcelona lakini mmewai fanya nini cha ajabu?
Hakuna kocha wakutengeneza structure hapo, soon mtaanza kuimba mapambio humu afukuzweKazi mbili za EtH ni hizi:
1.Kuleta point 3 atleast kila mechi (iwe kwa structure au non structure)
2.Kutengeneza structure ya uchezaji (Hii lazima iendane na matokeo chanya ya mechi na sio excuse ya matokeo hasi)
Wakati utd anafikisha EPL 20 team nyingine zilikua wapi?Tunataka kuongeza vikombe 20 vingine.
Tumekaa pale tunasubiri mapambio ,ya Ten hag OUT ,Wapuuzi hawa, Sexy Football inatakiwa iendane na matokeo pamoja na makombe.
Timu kama Barcelona ndio mfano wa kuigwa wa Sexy football, ila hawa Arsenyani wao wanacheza Prostitute Football ambapo wanaishia kuperformed sexual stunts uwanjani.
Tokea kipindi cha Wenger Arsenyani wanacheza vizuri kama Makahaba, wajitahidi kukata mauno vizuri uwanjani halafu mwisho wa siku wanaume wanaondoka na point 3.
Kama rashford na martial hawatakiwepo sijaona mbwa mwingine wa kutusumbua ...maana nilikuwa nawaza counter attack za rashford ,toka yupo ole huyu kimbwengo alikuwa anatusumbuaZa ndani ndani ni kwamba tutawakosa rashford na martial tarehe 2