Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

First touch tu nikajua hapa hamna kitu na kama uliangalia ile mechi ya r sociedad ni kama ameanza kuwa frustrated
Hata Sancho wengi walishaanza kumkataa, ila wote tunajua uwezo upo. Timu ikiwa vizuri, Kila mtu uwezo wake utaonekana. Tuachane na Antony, tuchukulie mfano wa Scott, amekuwa criticized sana, lakini timu ikielewana kidogo, wote tunasahau ubovu wake. Tumpe muda Antony, yule ni mtu na nusu
 
Sancho Bado maji kupwa maji kujaa
 
Eras come to an end.
FB_IMG_16631482068768971.jpg
 
Giorgio Chiellini: "I am sad for [Harry] Maguire’s situation because he is a good player. They require too much of him. Just because they paid £80m for him, he has to be the best in the world every match? It’s not right."

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Kwa mtazamo wangu mimi kama shabiki wa United timu hii ilihitaji sana mchezaji ambaye anaweza kucheza vizuri kama false 9 mwenye energy badala ya winger.

Kwangu mimi naona tungempata Lautaro Martinez, au Ivan Toney.

Kama striker wetu wangeweza kufanya hata nusu ya wanachokifanya Toney, Lautaro Martinez au Patrick Schick tungekuwa na kikosi tishio sana.
Martial? Ni mzuri kama False 9 kushinda wengi kwenye hio list, Lautaro sijamuangalia sana hivyo ngumu kutoa judgement yangu. Kama tunasajili striker na Martial yupo tunahutaji mtu atakaetupa kitu tofauti na Martial ndio maana ETH alimtaka Arnautovic

Tunahitaji sana winga wa kulia mkuu, hasa kwa Mfumo wa ETH, lengo si tu Antony kufunga ama Kutoa assist, bali ni kukusanya kijiji na kutengeneza magepu ili wengine wayatumie. Kwa hizi mechi 2 nilizomuona pia sio mzigo, anakaba sana na anakaa pembeni kabisa ili iwe rahisi wengine kumuona. Dalot pia atapeform vizuri akipata mwenzake wa kukaba.

Hio €100 tumelipa tu, hana thamani hio.
 
Back
Top Bottom