Daaaahhhhh broo una ugomvi wowote na huyu jamaa?Sina makengeza ila Anthony hatafikia hata kile alichotupatia Depay.
Hapa nimekuelewa mkuuHiyo mechi ya United na Leeds huwa inahitaji askari wengi kutokana na vurugu za mashabiki wa hizo timu.
Hapo ni askari 900 walishindwa kuzuia vurugu za kwenye mechi ya Leeds vs United. Sasa hivi askari wengi wa Uingereza wapo London na wasingeweza kutuma askari wengi zaidi kwenye mechi huku kuna tukio kubwa la muhimu kitaifa.View attachment 2360279
Sio mbaya mkuu sisi tunataka yeye atupe makombe tu mengine hayatuhusu.Philosophy ya Ten hag, kama nilivyoisikia hivi karibuni itakuja kutuletea matatizo siku akiondoka, sidhani kama itapata mtu wa kuiendeleza kiurahisi.
And when we are back it's City vs United...2nd October.When you realise there's no Manchester United games for 2 weeks.
#GlazerOUT
#GGMU
manutd View attachment 2360480
Upo hapo kwa muda tu.Nyumbu muache uchawi ,mtajibu nini kesho kwa Mungu?
Top On The Table
COYG.
Leaping you cand A**$ ain't for everybody.Beating Brentford isn't for everybody
Usiseme hivyoBeating Brentford isn't for everybody
Hakuna uchawi ni mbinu tu. Ulaya kama unajua unajua kama hujui hujui no excuseNyumbu tumewstukia mliroga sana mechi ile