Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Anthony yule hata mech vs Arsenal ukitoa goli hakuna Cha maana alichofanya , game 2 zilizofata hata 1vs 1 hawez, anachojua kucheza vusigino, na udambwidambwi ,vitu ambavyo kwa soka la Sasa vitawagharimuWachezaji mara nyingi wanachukua muda kuzoea mazingira.
Sancho kachukua muda mrefu kuonyesha uwezo wake.
Anthony ni mchezaji wa kiwango cha juu sana labda kama una kengeza la soka huwezi kuona kipaji chake.
Nadhani ndio maana ana G/A 12 Katika Ligi ya uholanzi, Ligi laini ,Gapko pale PSV ana G/A 33
Yaani Gapko anamchango mkubwa kuliko Anthony .