kwangu mimi MOTM ni ni Eriksen, goli zote 3 ametengeneza yeye akitoa mpira kwenye wakati mgumu na kupeleka mbele, anafanya kazi ya Bruno na Attacker wengine kuwa rahisi sana.
Ten Hag: “We missed a player on the right wing, because all the players who can play there, like Jadon Sancho, like Marcus Rashford, they prefer more the centre or the left side." [sky] #mufc
kwangu mimi MOTM ni ni Eriksen, goli zote 3 ametengeneza yeye akitoa mpira kwenye wakati mgumu na kupeleka mbele, anafanya kazi ya Bruno na Attacker wengine kuwa rahisi sana.
Ten Hag: "Tunaweza kukaba vizuri kutokea juu na kuwa na muunganiko mzuri. Tunaweza kuumiliki mchezo vizuri, tutalifanyia kazi maana haujawa muda mrefu toka tumekuwa pamoja."