raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,798
- 36,686
Mimi shabik wa man ila VAR katili sana aisee 😀
[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi shabik wa man ila VAR katili sana aisee [emoji3]
Hapo ulipo ulikuwa ushalowa buttockLingekua goli ningeandamana.
Imekuja kutatua kero ambazo huko zamani zilipuuzwa, ile ilikuwa ni faul bila ubishi.Mimi shabik wa man ila VAR katili sana aisee [emoji3]
Mimi lile goli tu 😃 jamaa kajitahidi sana alaf holaaaaa duhImekuja kutatua kero ambazo huko zamani zilipuuzwa, ile ilikuwa ni faul bila ubishi.
Ni katili kwa wanaobeti tu ila sio kwa watu wanaopenda mpira[emoji1].