Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishasema, usiku wa deni haukawii nyie nyumbu.. mkae mkijua leo lazima niwale kichwa!
 
Mm De Gea na Fredy only.
 
Nakubaliana na ww kwenye hili
 
Tunawakanda Tena ,hamna timu ya kucheza na Arsenal
Hivi Kuna mchezaji wa nyumbu anaingia kwenye kikos Cha Arsenal kwasasa?

Kesho tunawapigia samba

Na vile mnarukaruka pale Kati ,Xhaka lazima amsalimie degea
Kesho tunaikata bikira
 
My Starting XI vs Arsenal

=======

De Gea

Dalot Varane Martinez Malacia

Casemiro --------McTominay

---------------Eriksen------------

Rashford Fernandes Sancho

========

Rashford kama namba 9 hamna kitu kabisa ni bora ale flank moja then Fernandes acheze false 9.

McTominay amecheza vizuri kiasi recently..nitamwanzisha afanye kazi chafu na Casemiro pale kati..Eriksen juu akitengeneza chances..

=====

GGMU
 
Maguire will be back!!

Hii game inamuhitaji Maguire ingawa hana kasi za kukabiliana na Jesus ila ana uwezo mkubwa wa ku anticipate na kublock penetration passes kutoka kwa viungo wa Arsenal. Pacha yake na Martinez itasaidia.

10hag bring him back.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…