Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,094
- 2,825
Tunawakanda Tena ,hamna timu ya kucheza na ArsenalETH atoe ELANGA na Rash hii game aweke Sancho+CR+Martial ninahasira sana na awa Arsenali walitukanda 3-1 kwel na ubovu wao wa msimu uliopita Aseno ni wakutukanda 3 sisi???.....Ngoja tuone
Huu ni mtihani mujarab kwa DOF na Coach.June 2023 wachezaji wafuatao watakuwa out of contract.
1.Rashford
2.Phil Jones
3.Fred
4.Ronaldo
5.Shaw
6.Diogo Dalot
7.Tom Heaton
8.De Gea
And to be honest mimi nitambakisha tu De Gea tena kuwa golikipa namba mbili na kwa mshahara wa chini..wengine wote ningefagilia mbali.
How about you?
Hao wawili mishahara yao unaleta wachezaji wazuri hata watano.Hata mie degea naona anastahili kubaki pia na babu Ronaldo kwa mkataba wa mwaka mmoja mbele.
Siku wamiliki walipozuia kuuzwa kwa phill jones ndo nikajua tuna wamiliki wathenge sijawahi ona.Uamuzi upo mikononi mwake, achague kubadilika au kuendelea na tabia yake ya kiuchezaji alionayo, hata akipewa mkataba mpya bila ya shaka utakuwa na punguzo la mshahara.
Changamoto ya David ni kukosa kwake kujiamini, kuna nyakati jana alijaribu kuanzisha mpira kwa eriksen bila ya presha mpaka nikawa nashangaa na alifanya hivyo takribani mara tano.
Zilizobakia zote alikuwa anaangua nazi kwa goal kick.
Binafsi nalisubiria pambano kati ya ten hag dhidi ya bodi ya klabu na refereee wakiwa ni wachezaji.
Mmoja wapo ni huyo de gea na mkataba mpya.
Tunahitaji 'casemiro' mwingine.So far kuna improvement kwenye defence ya United,partneship ya Martinez & Varane wamekuwa wanaelewana sana na wanajipanga vizuri na defence yote (back four) wamekuwa unit ,mmoja akifanya kosa wenzake wanawahi ku-clear .Only weakness kwenye defence ni Dalot na amekuwa ana-improve na wenzake wanamsaidia .Casemiro akishasettlle huenda katikati patatulia Erikson akisogea mbele tuweze ku-dictate midfield na ku-create more chance
Ally pipiArsenal kwa kifupi wame yakanyaga wanaingia kinyume nyume kwenye ghetto la OT, lazima arsenal awe wa mfano leo kujua tupo serious arsenal mje kabisa na jeneza.
Mmeya kanyaga wakina@Arone Ramsey leo lazima mdeki bahari leo lazima mpigwe dog style.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Man united 3 vs Arsenal 0
[emoji355]12:30 jioni
Mpapaso leo ni lazima
#GGMU[emoji83][emoji83]
View attachment 2344990
Raha sanaETH atoe ELANGA na Rash hii game aweke Sancho+CR+Martial ninahasira sana na awa Arsenali walitukanda 3-1 kwel na ubovu wao wa msimu uliopita Aseno ni wakutukanda 3 sisi???.....Ngoja tuone