Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hukuangalia mechi halafu unashangaa ericksen kuwa man of the match unashangaa Sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kaka endelea kutuombea Mungu atuinue tena.....siku nabeba epl aseee lzm nitoe sadaka ya shukurani kwa baba muumba
 
Manjestaa kesho mukishindwa kula uroda wa ma gaygooners fc aka arse8 aise nitawashusha vyeo. Nategemea kesho muwakate utepe wale watoto.
#CFC💙💙💙
 

Umewaza kama mimi mkuu. Hii mechi inatakiwa Fred na Casemiro waanze pamoja, mbele yao acheze Eriksen au Bruno.
Tuwe na ulinzi shirikishi. Arsenal wapo fast wakati wa kushambulia, so aggressiveness ya Casemiro, Martinez na Fred inahitajika kwenye hii mechi.
Sitashangaa akianza Mc Tomminay tena, maana inaonekana kocha anamuelewa.
 
Kuna matajiri na wahuni

-------
The original budget outlined in May, as Ten Hag took the reins, was £120m.

There is always some elasticity given the unpredictability of the markets, but the gear shift to a figure nearly twice because it came after a disastrous start to the campaign

Laurie whitwell
 
Mechi za mchana.

Fulham 2 Liva 2
Wolves 0 Totte 1
South 0 Man Utd 1
Everton 0 Liverpool 0

Mechi ijayo ya mchana

14:30 Fulham ? vs Chelsea?
Una nn Mkuu

Angalia tu Kwa ufupi.

Halafu Angalia na Hii unayosumbua nayo. Hapa hatujafungia makaburi. Ya Man united 8: asernal 2
 
Skizeni nyie manjestaa ..kesho pigeni zile magaygooners fc acheni ushamba wale watoto wakifurukuta kesho nitawaona nyie mapimbi. .
Pigeni zile ma gay arse8 TenHag hatotuangusha..
Kila la kheri manyumbu.
 
Hiyo jumapili mtapoteana mapema humu kwa huu ushindi wenu wa papatu papatu
Nakushauri siku ya mechi, uwe karibu na kopo la panaldo.
Tunakupiga kigoli kimoja tu cha nguruwe harafu tunaendelea kujifunika shuka.
 
Freddy

Daloti

Hao watu tufikilie mara mbili mbili kama tunataka tuwaache.

Hao watu beseni wanabebea majukumu, kiufupi ni watu wabadi.
Waendelee kubaki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…