Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado manchester haijawa sawa maana livakuku haiko fom na ina mapungufu sehemu ya katikati ambako keita au tiago wange fit in majeruh pia kuto kuwepo kwa konate au matip kuli week defensive isitoshe tume shinda lakin mechi kwa ujumla tumezidiwa kiasi kikubwa kasoro magori sisi tulicheza kwa kuvizia ndio maana tukapata nafasi zile lakin kwa timu ndogo hatuwezi kuvizia maana nao wanasubili watuvizie (poccession liva 71 man 29 shoot liva17 man 13 coner 8liva man 6 )lakin imeonyesha mwanga ila itakua shrong ikikamilisa antony,dejong, na right back
De jong hana nafasi, abaki huko huko.
 
Mtu yeyote alieangalia game vs liver anapata majibu

Man u ya fagasoni imerudi kabisa
Mechi moya tuu hiyo...wacha tuone kama kutakkuwa na muendelezo.
Ila ukweli esemwe tuu, on monday the hunger was evident, kama kocha umekaa kwenye benchi ile mechi unaingalia dakiki 15 za kwanza unamgeukia msaidizi wako na kumwambia "we will win this match"
 
Kesho kilio kinarudi tena nyumbuzi

Furaha siku moja msiba mwezi mzima

Habari za ndani kabisa
Team captain atakuwepo
Cr7
Wan bisaka
Shaw
 
Ni rahisi fans wa man utd kumchukia de jong kwa kuringa kwa mda mrefu kutokana na sababu zake binafsi ikiwemo
(mapenz kwa barca hivyo kuendelea kupambania namba,matamanio ya kucheza uefa,kudai Deni analo idai barcelona na ubovu wa man kwa kipind cha karibuni)
Lakin de jong n mchezaji mzuri anae faa kuimarisha mancheste kwan anauwezo wa kucheza middle zote DM,CM,AM ability yake kubwa ni kupiga pass pamoja na kukaba na ndio mana anaweza kucheza mpaka CB licha ya hayo anafaa kwa manchester kwan anazijua kiundani mbinu za manchester akiwa na casamiro mambo yatakua muruaaa
De jong hana nafasi, abaki huko huko.
 
De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
mamaye sijui kwa Nini Dean waliruhusu aondoke,au ndio alikuwa ANATAKA gameplay za kutosha!?
 
Yani ilo swala la dean adi mimi linaniumiza kichwa yan tumemtoa kwa mkopo alafu now tunaangaika kubembeleza watu watupe kipa japo kwa mkopo
Dogo shida hakutaka kuwa backup gk,na pia kaenda kule kaanza kuongea shit..

Hata edwin van de sir alichukuliwa kama backup ila aliyoyafanya kila mtu anajua,hata huyu wa newcasto naiman atakua poa.

Yaani sijui kwa nn nina imani na kila mchezaji anayependekezwa na ten hag.
 
Needless to say, FDJ nimemwangalia akiwa na Barcelona aise jamaa ni moto sana.

Ukipata nafasi mtizame utagundua kwanini EtH anamhitaji sana.

Nitaamini tumemkosa siku dirisha likifungwa.
Sawa ni mzuri,lakini hawa wachezaji wanaogoma kuja kisa hatupo uefa watakuja kutuzingua tu,ubishoo mwingi.

Tunahitaji mchezaji anayefosi kuja Man utd,mfano casemiro na Antony,yaani hawajali cha europa wala nn.

Kuna dogo yule wa PSV ,Cokpa sijui,eti anasema atafikiria kuja kama timu yake haitafuzu uefa,sasa wachezaj kama hawa wa nn.

Huyo de jong,kuna wachezaj wengi sana dizaini yake,basi tu Scout ya man u nadhan ina uvivu flan8 hivi,nenda serbia huko wachezaj kibao.
 
My starting XI vs Southampton kesho


===========

De Gea

Dalot Varane Martinez Malacia

Fred Casemiro Erisken

Rashford Fernandes Sancho

============

Casemiro ndani kama yupo fit.

Martial kaumia..Ronaldo should not be anywhere near first XI,mtu anatafutiwa timu ya kuondoka haiwezekani apangwe kwenye kikosi.

Acha Fernandes acheze false 9

GGMU
 
Back
Top Bottom